Ulichukua hatua gani baada ya kugundua umebambikwa mimba/ mtoto?

Sasa mkuu umelea mimba mpaka mwanamke kakifungua ukaishi nae, sasa hukuwajua ndugu zake na wazazi wake maana ni ngumu kuzaa na mwanamke halafu husijue ndugu zake
Swal zur
 
Huwa sisahau aibu niliyoipata Mimi Kwa ndugu zangu na marafiki zangu .
Nilibambikiziwa mimba nikalea mimba hadi kujifungua,miezi miwili baada ya kujifungua nikashangaa mbona siombwi hela kama mwanzo ilihali Sasa hivi mtoto na mama wanahitaji pesa nyingi!!?!siku kuja kumuuliza anasema mwenye mimba alikataa mwanzo Sasa kakubali kwahiyo Sina changu.
Irene popote ulipo sijakusahau mshenzi wewe ulinisababishia aibu na fedheha,nilikonda,nikakosa ufanisi kazini, nilipewa warning letter baadae wakakataa kurenew mkataba wangu,nilikosa kazi.
Niliskia uko marangu mtoni unateseka mbwa weweee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa ndo ukakutana nae anahangaika na maisha na ww Mungu kakubariki yaaan unaweza tamani hata awe housegirl wako washenzi sana hawa.
 
Ni sawa kwa mujibu wa nani sasa? Hio ngoma ishaisha...[emoji3][emoji3] siku zisipo wiana doubts zinaongezeka...

Ni kawaida tu
Makadirio ya nesi yanaweza kuwa wiki mbili mbele na ya ultrasounds yakarudi nyuma

Ila maamuzi ni ya mtu mwenyewe
 
Binafsi sijawahi kubambikwa mimba wala mtoto, ila nimewahi kuhudumia mimba hewa! Nilikuwa nampenda sana naye alikuwa anajua nampenda, siku ya siku akaniambia hazioni siku zake, tulipoenda kupima ikaonekana kweli ana mimba.

Siku hiyo nilikuwa na furaha isiyo kifani, kuanzia hapo nikaanza kumhudumia kama mke wangu. Mara kinatakiwa hiki, mara kile, nikaja kushtuka baada ya miezi mitatu na nusu ukawa ndiyo mwisho wa mahusiano yetu baada ya kumpa kipondo kitakatifu.

Kinachoniuma mpaka kesho ni zile gharama za hospital/clinic, maana alikuwa akiniambia mimba inatishia kutoka kwahiyo anatakiwa kuhudhuria clinic kila wiki.

Wewe je, ulibambikwa nini na ulichukua hatua gani baada ya kugundua umefanywa bwege?
Kila wiki alikuwa anaenda kwa mwenye mimba, ogopa sana wanawake wewe
 
Huwa sisahau aibu niliyoipata Mimi Kwa ndugu zangu na marafiki zangu .
Nilibambikiziwa mimba nikalea mimba hadi kujifungua,miezi miwili baada ya kujifungua nikashangaa mbona siombwi hela kama mwanzo ilihali Sasa hivi mtoto na mama wanahitaji pesa nyingi!!?!siku kuja kumuuliza anasema mwenye mimba alikataa mwanzo Sasa kakubali kwahiyo Sina changu.
Irene popote ulipo sijakusahau mshenzi wewe ulinisababishia aibu na fedheha,nilikonda,nikakosa ufanisi kazini, nilipewa warning letter baadae wakakataa kurenew mkataba wangu,nilikosa kazi.
Niliskia uko marangu mtoni unateseka mbwa weweee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Njoo inbox mjuba
 
Manaume majinga sana!! mtoto wa kiume ndo ana madhara lkn wa kike weye beba tu!! utamkula na/zalisha huko mbele ya safari mamake atajua sasa! akimbie au akae!! ningekuwa mie lazima nikatafute nikakule!

vitoto vya kike havikawii kukomaa!! nakala weeee!! mapaka kieleweke kanazaa vizuri tu! asinifanyie ivo na kuniroga haniwezi! namfunga pingu ndiii!! ushenzi juu ya ushenzi tyuuu hkn namna!

Mtoto lazima alipe!! labda km huyo me umezeeka!
Kumla mtoto (wewe sio baba yake mzazi) wa mwanamke unayeishi nae mwenye umri zaidi ya 18 kama 28 hivi , ni kosa au sio kosa? Maoni yako tafadhali
 
Nawajua. Waliwahi kuja mpaka nyumbani. Infacy tunaishi karibu tu. Ila baada ya hapo mwanamke alitimkia mjini. Nilisikia fununu kuwa alienda kwa huyo mwenye mimba, na huko hakukaa sana akamwachia mtoto, na kuondoka. Sasa hivi sijui aliko na ndugu zake wanaficha.
Muogope sana kiumbe mwanamke, wamesomea uongo wakafuzu na mwalimu wao alianza kuwafundisha eden
 
Unaweza kuwa mjanja sana ila mapenz Kuna namna kilamtu kaonja maumivu unapigwa had unajiuliza hiv ni mm huyu nadanganywa kiasi hiki 😂😂😂
Mnajua kudanganya hadi sio poa
 
Huwa sisahau aibu niliyoipata Mimi Kwa ndugu zangu na marafiki zangu .
Nilibambikiziwa mimba nikalea mimba hadi kujifungua,miezi miwili baada ya kujifungua nikashangaa mbona siombwi hela kama mwanzo ilihali Sasa hivi mtoto na mama wanahitaji pesa nyingi!!?!siku kuja kumuuliza anasema mwenye mimba alikataa mwanzo Sasa kakubali kwahiyo Sina changu.
Irene popote ulipo sijakusahau mshenzi wewe ulinisababishia aibu na fedheha,nilikonda,nikakosa ufanisi kazini, nilipewa warning letter baadae wakakataa kurenew mkataba wangu,nilikosa kazi.
Niliskia uko marangu mtoni unateseka mbwa weweee.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usimtukane Irene, utukane ubwege wako k3ng3 wewe
 
Back
Top Bottom