Ulifanya 'Kisanga' gani ambapo Mama yako alikutetea kwa Nguvu zote ili kukuokoa?

Ulifanya 'Kisanga' gani ambapo Mama yako alikutetea kwa Nguvu zote ili kukuokoa?

[emoji23][emoji23][emoji23] kuna uhusiano gani mama kua mnyakusya na kukutetea sijaelewa
Kama huwajui Hawa wamama wakinyakyusa kausha tu Maana balaa lao sio mchezo wako serious sana [emoji23]
 
Enzi hizo nipo chuo ..nilienda home weekend na Baba hua ana kawaida ya kunipa pesa nikifika tu home hata iwe usiku ataniamsha...
Hahaha wazee wa zamani binti akipata mimba walikuwa wanafukuza mama na mtoto

Sasa nimeelewa kwanini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakumbuka nilikua fom ii,bangi ilikua imekolea kichwani halafu napendwa sana home...

Nlikamatwa asembo paredi,na kete 4 za bangi nimechomeka kwenye soksi.

Wakati nabishana na mwalimu,nikazibugia mdomoni.

Wakawaita wazazi(alikuja mama),alipoambiwa kosa langu.Alilia sana kunitetea mpaka akawaambie wanipe kitabu cha mungu(Qur`aan) nisome ili waamini hata nikiwa home me ni mtu wa dini,Nilisamehewa.

Aliporudi home akatipitiliza mpaka kwenye nyumba tunayokaa,akaingia mpaka chumbani kwangu.

Akakuta kisado kimejaa zinde za ganja,shungi za sigara,paketi za viroba(power no.1).

Alilia sana,sanaaaa
 
Nakumbuka nilikua fom ii,bangi ilikua imekolea kichwani halafu napendwa sana home...

Nlikamatwa asembo paredi,na kete 4 za bangi nimechomeka kwenye soksi.....
Hii sasa ni laana
 
Mmmh mama Witi mnoko asee...hadi sasa hivi ukizingua anakupa kipondo cha haja[emoji26]

Kuna kipindi nilihisi labda huyu sio mamaangu[emoji38][emoji38][emoji2] utoto bana
 
[emoji1787]Nilipata matokeo mabovu O-level ila Bi.mkubwa akawa anani-promote mbele ya familia ambayo ilifura kwa hasira kiasi kwamba ile Division Mbovu niliopata waamini ni Division 1 (one) iliyoopoza tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Ila wamama Mungu awalinde..
Mimi dada yangu alikuwa ana mimba kila mtu mtaani anamsema yeye.. Bi mkubwa anasema kile ni kitambi cha bia na kitimoto Khaaaaa...
Sema baadae dada alienda Mkoani kwa shemeji na kujifungulia huko huko.
 
Back
Top Bottom