Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tulibambwa mtandao wangu mzima tukaandika barua, ikawa onyo ukirudia tena huna shule, na shule za kikatoliki hazikwepeshi manenoMbona ndiyo ilikuwa njia ya kutoboa kirahisi Sasa.
Unazama machimboni unawauzia namna hiyo na kuwakopesha kwa mfumo huo
Shule za seminary ,ni Kama nchi kunakuwa na masnitch wanaojivika kazi za usalama wa taifa huwezi fanya dili haramu usikamatwe yaani itoshe kusema nahisi kule ndiko tunakowapata afisa vipenyo wazuri zaiditulibambwa mtandao wangu mzima tukaandika barua, ikawa onyo ukirudia tena huna shule, na shule za kikatoliki hazikwepeshi maneno
Fisadi Mbobevu.Nilishaacha aisee
Mtaani pesa ni ngumu mno
Hahaha, Sasa ulidanganywa nini na walimu mpaka ukatumbukia humo?Anhaa msaliti .
Walinimind Sana Wana Ila wengi tulikuja kusettle tena chuoni tukawa sawa ila hawakuniruhusu nigombee walq nipate uongozi wowote kwa minajili ya kusema sifai kuwa kiongozi
Hujasoma kaskazini kweli wewe, Hahaha. Arusha, arusha ndo kulikuwa na hii michezo.nilichongesha muhuri washule,nikafanyia mazoezi sahihi ya basa nikapatia ,nikaenda mjini kufanikisha kitabu Cha risiti , masela wakaanza kulipa ada na michango kwangu........ mpaka Leo shule ilikula hasara Milion of money,kumbe kwenye masela palikuwa na kenge ,akashindwa kujitetea lakini hakunitaja mpaka Leo na meja jeshi la goma congo
ebwana ,Ile siku siisahau mana nilitakiwa nitajwe ila hakunitaja
Mpaka Leo ,pamoja Yuko jeshi la kongo Mimi ndo mshauri binafsi
Hahaha, Sasa ulidanganywa nini na walimu mpaka ukatumbukia humo?
Nilimchomolea rafiki yangu hela kwenye shati kiutani ilikuwa mapumziko mlangoni mwa darasa ili nimrudishie baadaye,kumbe jamaa kaenda kwa ticha.Tukaitwa darasa letu turudi darasani hapo mimi sijagundua tulichoitiwa na pesa ipo mfuko wa shati, Mara namuona ticha ana bakora na Semeni(rafiki yangu)yupo pembeni hapo nikajua nishayakanyaga basi ticha huku ana rundo la stick akasema aliyechukua pesa ya semeni arudishe kabla sijawasachi wote na bakora zisipopatikana,nikasema sizotoi maana zile bakora zitaniishia,ulipita msako huku natetemeka nikazitoa kwenye shati nikazishika mkononi ile ananisachi mfukoni(monitor)mi nimezishika mkononi mikono juu akasema lete begi hapo ndipo nikafanikiwa kuzirudisha mfukoni.Kilichofuata ni kupigwa fimbo 5 kila mmoja.Nilijisikia vibaya sana wenzangu wakipigwa huku wakilalamika kuonewa.Niliendq nae (kwa saa nane) nikamnunulia mihogo.Baada ya siku 2 nikamrudishia hela akashangaa sana nikamwambia alikurupuka kwenda kwa mwalimu,siri tukabaki nayo hadi tulipomaliza shule kama yupo mhanga wa hili tukio samahani sana.Semeni Jarton Mwakyembe uko wapi mkuu?Hapa ni katika level zote 3 za elimu shule ya Msingi, sekondari na Kidato cha 5 na cha 6.
Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..
Dogo una njaa Kali Sana.Nilikuwa nauza vitu vya dukani mara 2 au 3 ya bei zake siku ambazo duka limefungwa
Pia nilikuwa nakopesha kwa riba za 100%+
Pia kesi za swahili speakers nilihusika sana
Usiwe kama toroli au mtumbwi. Unahitaji kusukumwa, kuvutwa au kupigwa kasia ili kufika popote.Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..
Hahaha. Ulizingua mno boss.Uhakika wa mlo mzuri wa walimu Kaka .
Asubuhi chai maziwa na mikate ya soseji huku Wana wanakunywa uji na andazi moja .
Wali kwangu shuleni haikuwa anasa ilikuwa ni routine .
Sasa ticha akikuagiza kuwachunguza Wana unajikuta huwazi Mara mbili maana Wana hawana lolote .
Sema miaka hiyo mnasoma mkiwa miwatu mizima kweli ,Basi kamati ikaundwa siku nikaitwa chemba na wawakilishi wa school mob wakisema nakaza Sana embu nijitafakari na kubadilika ,Sasa Kaka mbele ya wali na pilau la staff basi nilikuwa naambilika ?
Ni hapo wakasema siku watanikungu'ta na badaye wakitimiza Jambo lao
nilikua nauza mzizi wa kuongeza nguvu za kiume maarufu kama MKONGORA. nilikutwa na hiyo mizizi mfuko mzima ule wa kubebea madaftari ulioandikwa SPORT wenye kamba unavaa kama X hivi. kengele ikagongwa nikapata bakora km 20 na ushee, sitasahau! shule nilikuwa naitwa TIPPU TIPPU kwasababu ya biashara ya MKONGORA.
Niligombea u_headboy nikashindwa Ila wakati wa kutangaza matokeo nikayakataa mbele ya walimu na watumishi wa shule kwa kelele ,wale wanaonikubali nao wakazifuata kelele zangu .
Nikala fimbo nikapoa ,usiku nikashika mic ya chapple wakati kimetulia watu wapo kujisomea nikawatangazia kuwa Mimi ndiye head boy wa shule na aliyepita hatambuliki na yeyote .
Watu wakapiga kelele za shangwe ,asubuhi kengele ikagongwa nikala suspension ya miezi miwili na faini ya milioni mbili kwa kuvunja viti vya chapple maana wafuasi wangu walifanya fujo wakati najitangaza hivyo waliharibu Mali za chapple .
Nimerudi kutoka kutumikia kifungo nikapewa uongozi wa nidhamu ni hapo nikatulia na kuanza kuwasaliti wanafunzi wenzangu wasaliti japo nao walinikunguta walipoona nimebadilika kabisa .
Hivyo naamini hamna kitu kikubwa Kama kucheza na psychology ya mtu ,maticha walijua kucheza na akili yangu Ila wakaniponza school mob ikataka kuniua .[emoji3][emoji3]