Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

Kuna mwalimu alikuwa anatufundisha book keeping, ndio akaniita "Mr. Lover lover. .!! " Minong'ono na vicheko vikatawala. Mwalimu wa nithamu aliingia na kuniuliza wewe ndio fulani?.

Yani kuitikia tu, na kuniamuru nikaigonge kengele ya shule mwenyewe. Hii siku ndio ilikuwa marayangu ya kwanza kuigusa kengele ya shule tangu nimeanza shule ya msingi hadi kuhitimu masomo yangu na sijawahi kuigusa tena.

Shule ilikusanyika sio wanafunzi tu hadi walimu wote walikuepo, muda sio mrefu madam nae namwona ndio anawasili getini. Hali niliyokuwa nayo ni mwenyezi mungu ndio anajuwa.

" Hapana asichapwe naomba kila mwanafunzi azingatie masomo, acheni kuwatesa wazazi wenu kwa kupoteza pesa nyingi kuwalipia ada, alafu kijana nifate ofisini ...

Haya maneno aliyazungumza mwalimu mkuu, alikuwa ni mzee mmoja msitarabu sana na alikuwa na kipaji cha kukusema kwa maneno hadi unatokwa chozi. Kufupisha tu mambo, shule nilisimamishwa wiki mbili alafu nikaagizwa kwenda na mzazi shule siku tajwa ilipofika na barua nilipewa siku hiyo hiyo.

Licha ya yote madam alinipoza maumivu🔞. Mzazi sikumpa barua ila huu msala ndio ulipelekea nikahama shule hiyo na kwenda shule ya mama #@ alikuwa waziri enzi hizo na kuacha hiyo tabia jumla. Msala wa hivi omba usikukute ukiwa mwanafunzi na nilikuja kugundua academic alikuwa nae anafukuzia mali safi.
 
Aisee nakumbuka nikiwa Form 2 nililizuwa balaa sitolisahau 😆😆😆

Kuna Mwamba alikuwa form 3 alikuwa mbeba vyuma na alikuwa na vurugu sana pale shuleni alikuwa amepewa suspension. Sasa maisha ya kigheto gheto kulikuwa na zile tabia za kupekuwa pekuwa ma trunker. Mimi na Washikaji zangu Tango na Cash tukapekuwa trunker la jamaa fulani la jamaa alikuwa mpiga picha tukakuta picha ya huyo jamaa alikuwa ametunisha kifua. Tukaichukua ile picha tukaiandika matusi ya kumtisha Mwalimu aliyempa suspension yule jamaa.

Alafu tukampa dogo wa shule ya msingi na shiling 20. Tukamwambia ipeleke pale shuleni ( Shule yetu tuliyokuwa tunasoma)
Mimi ndio nilikuwa muandishi wa yale maneno na Washikaji zangu (Tango na Cash ) ndio walikuwa wananitajia maneno ya kuandika 🤣🤣🤣

Dogo akaipeleka pale shuleni kwetu ikapokelewa na Mwalimu fulani akaihifadhi. Sasa jumatatu ilipofika yule Mwalimu aliyeipokea ile barua akampa yule Mwalimu aliyempa suspension.

ITAENDELEA
 
Wengine tubaki wasomaji, maana tulizidisha kuwa Watakatifu kwenye maisha yetu yote ya Shuleni 🙏🙏

N.B nimekuwa Kiongozi O'level hata A'level hivyo haikuwa rahisi kuwa mtukutu
Tupo pamoja mzee wa hovyo

Primary nilikuwa time keeper,yaani kengele ilikuwa inanijua vizur sana

O level nilikuwa kiranja

A level nilikuwa monitor
 
Kuna kipindi fulani mkoa niliokuwa na

soma soko la Halimashauri liliungua moto. Kuna Mshikaji wangu walikuwa na duka la bidhaa za nyumbani ( Pipi, biskuti, big G nk) walifanikiwa kuokoa baadhi ya vitu, sasa akawa anabeba biskuti na pipi shuleni tukawa tunaviuza darasani kutoka stream yetu A tukawa tunaenda na streams zingine kuuza.

Kelele zilikuwa nyingi sana siku hiyo kuna Mwalimu alikuwa amefunga ramadhani zile kelele zilikuwa zinamkera akaja amefula hasira akatutoa nje darasa zima akatuweka juani na akawa anauliza kwanini mnapiga kelele. Aisee Jamaa mmoja akaropoka fulani na fulani wanauza biskuti darasani 🤣🤣🤣

Zilianza kutembea bakora za moto mnoo na yule Mwalimu kwa hasira akasema leo nimeharibu funga yangu sasa mtanitambua.

Yule Jamaa aliyekuwa anauza zile biskuti akachukuliwa akaenda kuwekwa kwenye jua kali akaambiwa haya kula na umalize biskuti zako zote. Mwamba alikuwa anakula biskuti bila maji yaani dah ulikuwa ni ukatili sana aisee 😪

Mshikaji alikuwa anakula biskuti mpaka vumbi la biskuti na makamasi vinatokea puani.
 
Mimi sikuwaga mtukutu kivile. ila sasa sisi tulosoma shule za kata nakumbuka ilikuwa siku ya ijumaa siku ya michezo mimi na rafiki yangu tukaamua kutoroka ile tunavuka barabara tukamuona mwalimu wa nidhamu kumbe alituona akawa anatufuatilia. sisi tukaanza kukimbia na yeye anatukimbiza huku akitwambia turudi au tusimame na sisi tukala mbio huku tunamjibu kama umetujua tutaje majina yetu basi watu njiani wanakufa kwa kucheka tulivyokuwa tukijibizana na huyo mwalimu. kumbe hakututambua jumatatu assemble akasema tujitokeze kabla hajatutaja sisi tukauchuna kumbe mwalimu naye aliambulia patupu hakutufahamu. Pumzika kwa amani rafiki yangu kipenzi.
 
Tupo pamoja mzee wa hovyo

Primary nilikuwa time keeper,yaani kengele ilikuwa inanijua vizur sana

O level nilikuwa kiranja

A level nilikuwa monitor
Nimekuwa Monitor -Primary
HP - O'level
Dormitory leader - A'level
CR-Chuo
Na sasa ni Kiongozi wa Wakulima huku Kijijini kwetu

Kwa vyovyote vile isingekuwa rahisi kuwa sehemu ya Wafanya fujo kote huko nilikopita
 
Aisee nakumbuka nikiwa Form 2 nililizuwa balaa sitolisahau 😆😆😆

Kuna Mwamba alikuwa form 3 alikuwa mbeba vyuma na alikuwa na vurugu sana pale shuleni alikuwa amepewa suspension. Sasa maisha ya kigheto gheto kulikuwa na zile tabia za kupekuwa pekuwa ma trunker. Mimi na Washikaji zangu Tango na Cash tukapekuwa trunker la jamaa fulani la jamaa alikuwa mpiga picha tukakuta picha ya huyo jamaa alikuwa ametunisha kifua. Tukaichukua ile picha tukaiandika matusi ya kumtisha Mwalimu aliyempa suspension yule jamaa.

Alafu tukampa dogo wa shule ya msingi na shiling 20. Tukamwambia ipeleke pale shuleni ( Shule yetu tuliyokuwa tunasoma)
Mimi ndio nilikuwa muandishi wa yale maneno na Washikaji zangu (Tango na Cash ) ndio walikuwa wananitajia maneno ya kuandika 🤣🤣🤣

Dogo akaipeleka pale shuleni kwetu ikapokelewa na Mwalimu fulani akaihifadhi. Sasa jumatatu ilipofika yule Mwalimu aliyeipokea ile barua akampa yule Mwalimu aliyempa suspension.

ITAENDELEA
Tango na Cash ni movie ya kitambo sana, end of 90s kuja mapema miaka ya 2000 kama sikosei.
 
Fanya iendelee hii [emoji38]
Aisee nakumbuka nikiwa Form 2 nililizuwa balaa sitolisahau [emoji38][emoji38][emoji38]

Kuna Mwamba alikuwa form 3 alikuwa mbeba vyuma na alikuwa na vurugu sana pale shuleni alikuwa amepewa suspension. Sasa maisha ya kigheto gheto kulikuwa na zile tabia za kupekuwa pekuwa ma trunker. Mimi na Washikaji zangu Tango na Cash tukapekuwa trunker la jamaa fulani la jamaa alikuwa mpiga picha tukakuta picha ya huyo jamaa alikuwa ametunisha kifua. Tukaichukua ile picha tukaiandika matusi ya kumtisha Mwalimu aliyempa suspension yule jamaa.

Alafu tukampa dogo wa shule ya msingi na shiling 20. Tukamwambia ipeleke pale shuleni ( Shule yetu tuliyokuwa tunasoma)
Mimi ndio nilikuwa muandishi wa yale maneno na Washikaji zangu (Tango na Cash ) ndio walikuwa wananitajia maneno ya kuandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dogo akaipeleka pale shuleni kwetu ikapokelewa na Mwalimu fulani akaihifadhi. Sasa jumatatu ilipofika yule Mwalimu aliyeipokea ile barua akampa yule Mwalimu aliyempa suspension.

ITAENDELEA
 
Nikiwa njuka,nakumbuka nikua mchoraji mzuri siku Moja mwalimu WA English alininyaka baada ya kuniona nipo buys sana na daftar akajua n mwanafunz Bora naandika SoMo lake Kwa umakin akaja akanambia nipe Ilo daftari ebwana eeeeh kuangalia daftari nzima limejaa katuni tupu za Mr pindi,kipepe, professor ndumila kuwili nk,akasitisha kufundisha akaondoka na daftari ofisini alikaa nalo wiki nzima nikiwa sijui hatimae YANGU,baadae akaanita ofisin kwenda nakuta walim wamejaa kama wote wananisubulia Mimi,apo mapigo ya moyo Yana dundia nje ya tishart ya shule,nimawekwa chin na mwalimu WA nidhamu nikaanza kuulizwa baadh ya maswali ya masomo,Mungu saidia kichwa ilikua njema kidogo tokea msingi,wakasema uyu ana talent wakaniludishia daftari langu nikaachiwa nikalud darasani,tokea apo nikapewa kipaumbele Cha kuweka katuni zinazo elimisha nyuma ya mlango WA shule,siku Moja akaja Mh mea akaona ile katuni ilikua walim wanaongelea umbali WA shule na kufundisha wanakua wamechoka kabla ya kufundisha ufaulu unakua mdogo,bas shule yetu ikapata Barbara nzuri na kuletewa haice ad uwanja WA shule,pia nikashindanishwa na shule 37 shule yetu ikawa ya pili Kwa uchoraj Bora na mchoraji nilikua Mimi,tutapata zawad nono ila zile zawad ilichukua shule,Mimi nilipata bonas ya kuto lipia lim paper Kwa tem zote ad nilipo malizia fom4 .

Ila kwenda na sim yenye Tv shule ambayo darasani nilikua najaza kibunge tukiangalia sijawai kudakwa nalo mana wangenishusha vyeo vyote😂😂😂
 
Hapa ni katika level zote 3 za elimu shule ya Msingi, sekondari na Kidato cha 5 na cha 6.

Mimi nakumbuka niliwahi kamatwa na simu kengele ikagongwa nikaipasua kwa mawe hadharani..
Patron alikuwa ni mwalimu... Sasa alikuwa na mtindo ikifika usiku baada ya prep Ile mida ya saa4-5 anafunga hostel Kwa nje anaenda kwenye gambe.. Sasa Mimi nilikuwa hostel leader. Siku tukakaa tukasema huyu ngoja tumkomeshe ..... Kama kawa akatufungia mlango...Ikapigishwa shoti kwenye main switch umeme ukazima paaaap.... Watu wakaanza kupita na milango madirisha yaani vurugu... Patron akakosa kazi zote ualimu na upatroni na sisi viongozi wa wanafunzi hostel tukapigwa sunspaaa fresh. Hawakurudia Tena kufungia wanafunzi bwenini.
 
Kutega vioo chini kwenye sakafu ili nichungulie chupi za Mademu.
Kioo Cha Kwanza alisimama Mwalimu bila kujua.

Tukaona mzigo umevimbiana, Wana wakacheka Sana wakishindwa kujizuia.
Mwalimu hakuelewa Hadi baadae alipo pelekewa udaku na wahanga wenzie.

Kiliwaka eenh.
Kama ndio wewe nakufahamu. Unaweza nikumbuka ilipigwa kengele na nikapigwa kwa kumtukana Mwalimu.
 
Back
Top Bottom