Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

Kutega vioo chini kwenye sakafu ili nichungulie chupi za Mademu.
Kioo Cha Kwanza alisimama Mwalimu bila kujua.

Tukaona mzigo umevimbiana, Wana wakacheka Sana wakishindwa kujizuia.
Mwalimu hakuelewa Hadi baadae alipo pelekewa udaku na wahanga wenzie.

Kiliwaka eenh.
Huu mchezo tuliucheza sana tukiwa darasa la tatu. Tulikuwa tunafanya wakati wa parade
 
Throwback 2000's tupo form 3, Kuna jamaa tulikuwa tunamuita odinga, siku hiyo bana ulipita msako tu wa kawaida ilikuwa inasemekana Kuna watu wanakuja na phone school, Sasa huyu odinga begi lake likapigwa Sachi akakutwa na CD ya X ebana we, ikagongwa kengele ya emergency aisee, aliitwa mzaee wake alipigwa sticks Akala spaa ya wiki 3, CD wakaichukuaga maticha had na kesho hakupewa Ile cd
 
Form four hyo tulikuwa wanne tunacheza kamari ya karata class kumbe mjinga mmoja kaenda kutochomea kwa headmaster, kuja class tukadakwa tunaenda ofisin headmaster anasema kiingilio cha kuingia ofisi kwake bakora nne na kutoka bakora nne tena, hapo bakora nje ya adhabu. ikapigwa kaengere tukala stick za kutosha na suspension wiki mbili 😂
 
Watu aina yako ndo mnatusumbua serikalin mpaka wa leo ,mna gushi mikataba ya uongo ,mnaingiza nchi matatzon Kwa akili zenu zilizo pitiliza
mkuu,nawatoto 8 wote nimewaingiza serikalini...nimewaaga mwakani naacha kazi serikalini naenda kuchunga ng'ombe zangu 40 na mbuzi 80......imetosha miaka 29 serikalini ....... naenda kulima
 
Wengine tubaki wasomaji, maana tulizidisha kuwa Watakatifu kwenye maisha yetu yote ya Shuleni 🙏🙏

N.B nimekuwa Kiongozi O'level hata A'level hivyo haikuwa rahisi kuwa mtukutu
Ila ninachowakubali wazee wa 47 kila mmoja ukikutana nae akikupa stori za ujanani ni alikuwa kiranja, anashika namba moja mpaka namaliza 7, anapendwa na walimu wote, wanawake au vigori wanapenda stori zake za ucheshi....hawa ndo wazee wa FotinSeven, capteni wao Graham 🤣🤣🤣
Ngoja na sisi tutaleta zetu za 80 😄
 
Hujasoma kaskazini kweli wewe, Hahaha. Arusha, arusha ndo kulikuwa na hii michezo.
Tulikuwa Natabia ya kutoroka kwenda angalia (chovyeri) x, basi siku ya siku tumeruka ukuta kucheck zetu music za ngono kumbe Kuna ki informer tulikuwa nacho , tukaaenda check mwanzo mwisho Ile tunatoka tunakutana na father mlangoni akatudaka kama kuku, adhabu ikawa kukaa mbele ya cruiser yeye huku anapiga Gia. Kufika shule saa sita ikapigwa kengele ya Angelus, adhabu iliyotoka ni kupewa gogo la mninga kupasua kuni. Huwez wiki nzima hakuna aliyefanikiwa kupasua hata nusu
 
Mbona ndiyo ilikuwa njia ya kutoboa kirahisi Sasa.

Unazama machimboni unawauzia namna hiyo na kuwakopesha kwa mfumo huo
Huyu alikuwa mfanyabiashara ila akaona shule itamtoa
Angekuwa na mtu wa kumuongoza angeachana na shule na kufanya biashara zaidi
Maana wafanyabiashara wengi Africa hawajasoma ni mwendo huo huo tu 😄
 
Mimi nilikuwa mtoro shuleni wakati wa chakula Naenda kula kwa binamu yangu alikuwa karibu na shule, maana shule ilikuwa boarding.Wakati Narudia njia ya uchchoro nikakutana headmaster!Kengere inagongwa na kuzomewa,penda kula hili.
 
Nilimfungia patron mlango wa chumba chake, nikazunguka nyuma kwenye dirisha lake nikamwaga maji mixer matope, huo msala sio poa.

Nyingine hii

Kuna famba mmoja kipindi tuko O level alikua na swaga zile kama mtu mzima ila level yetu. Sasa mimi na jamaa yangu tukampanga tumvushie demu ndani achape, ila atuahidi atatulipa sh ngapi. Jamaa likaahidi 100k tukataka advance 70. Sasa wakati anafanya process alikua na ndugu yake ni kiongozi wa shule kibaya zaidi baba mzazi wa huyo kiongozi ni ticha hapohapo shule. Ikabidi ianze kufatiliwa hii hela ya nini ndani ya siku moja ikawa ishajulikana.

Oyaa wanangu ulikua msala sio mchezo ila muhimu nilimaliza form four na sisi tulitaka tu kumtapeli yule jamaa. Nimemaliza
 
Ila ninachowakubali wazee wa 47 kila mmoja ukikutana nae akikupa stori za ujanani ni alikuwa kiranja, anashika namba moja mpaka namaliza 7, anapendwa na walimu wote, wanawake au vigori wanapenda stori zake za ucheshi....hawa ndo wazee wa FotinSeven, capteni wao Graham 🤣🤣🤣
Ngoja na sisi tutaleta zetu za 80 😄
Kuweni na imani na Wazee Mkuu 🤗

Wazee wote tulikuwa vichwa sana shuleni

Imagine unafundishwa class na Mwalimu Mzungu akiwa na bastola yake kiunoni, lakini bado tuliweza kuhitimu darasa la 12 tukiwa na ufauru wa kiwango cha juu 🤗

Ninyi mkianza kutoa hadithi zenu za Mwaka 80 mtakuwa mnazungumzia harakati za kuanzisha mziki wa Bongo fleva tu 😜
 
Wewe kama Mzee wangu akianza na mavyeti yake Bismark plus anajifanya mtaalamu wa ku-bake ikifika weekend kisa wajerumani wamemfundisha kukanda 🤣🤣🤣
 
Wewe kama Mzee wangu akianza na mavyeti yake Bismark plus anajifanya mtaalamu wa ku-bake ikifika weekend kisa wajerumani wamemfundisha kukanda 🤣🤣🤣
Hahaha......full kujiamini

Wakati huo tunaponda Elimu inayotolewa miaka hii Kwa kusema hamna kitu

Ila old is gold, tumetoka mbali sana Mkuu 🤗
 
Mkuu samahani naweza kuja pm unipe connection?
mkuu,nawatoto 8 wote nimewaingiza serikalini...nimewaaga mwakani naacha kazi serikalini naenda kuchunga ng'ombe zangu 40 na mbuzi 80......imetosha miaka 29 serikalini ....... naenda kulima
🙏
 
Back
Top Bottom