Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Huu mchezo tuliucheza sana tukiwa darasa la tatu. Tulikuwa tunafanya wakati wa paradeKutega vioo chini kwenye sakafu ili nichungulie chupi za Mademu.
Kioo Cha Kwanza alisimama Mwalimu bila kujua.
Tukaona mzigo umevimbiana, Wana wakacheka Sana wakishindwa kujizuia.
Mwalimu hakuelewa Hadi baadae alipo pelekewa udaku na wahanga wenzie.
Kiliwaka eenh.
nyanda za juu kusini Tena shule maarufu ,kwangu walikaa chini na kwa umri wangu nimepewa kipaumbele kuwa mlezi wa shule......na nimekuwa kipaumbele hakuna kupokea karo mkononi mzazi aingize akaunti ya shuleHujasoma kaskazini kweli wewe, Hahaha. Arusha, arusha ndo kulikuwa na hii michezo.
mkuu,nawatoto 8 wote nimewaingiza serikalini...nimewaaga mwakani naacha kazi serikalini naenda kuchunga ng'ombe zangu 40 na mbuzi 80......imetosha miaka 29 serikalini ....... naenda kulimaWatu aina yako ndo mnatusumbua serikalin mpaka wa leo ,mna gushi mikataba ya uongo ,mnaingiza nchi matatzon Kwa akili zenu zilizo pitiliza
zamani sana hiyo, washaondoaNyie watu wa tengeru boys nasikia adhabu yenu ni kuosha nguruwe na kufagia mabanda yao asee hiyo shule yenu haifai
Ila ninachowakubali wazee wa 47 kila mmoja ukikutana nae akikupa stori za ujanani ni alikuwa kiranja, anashika namba moja mpaka namaliza 7, anapendwa na walimu wote, wanawake au vigori wanapenda stori zake za ucheshi....hawa ndo wazee wa FotinSeven, capteni wao Graham π€£π€£π€£Wengine tubaki wasomaji, maana tulizidisha kuwa Watakatifu kwenye maisha yetu yote ya Shuleni ππ
N.B nimekuwa Kiongozi O'level hata A'level hivyo haikuwa rahisi kuwa mtukutu
Tulikuwa Natabia ya kutoroka kwenda angalia (chovyeri) x, basi siku ya siku tumeruka ukuta kucheck zetu music za ngono kumbe Kuna ki informer tulikuwa nacho , tukaaenda check mwanzo mwisho Ile tunatoka tunakutana na father mlangoni akatudaka kama kuku, adhabu ikawa kukaa mbele ya cruiser yeye huku anapiga Gia. Kufika shule saa sita ikapigwa kengele ya Angelus, adhabu iliyotoka ni kupewa gogo la mninga kupasua kuni. Huwez wiki nzima hakuna aliyefanikiwa kupasua hata nusuHujasoma kaskazini kweli wewe, Hahaha. Arusha, arusha ndo kulikuwa na hii michezo.
Huyu alikuwa mfanyabiashara ila akaona shule itamtoaMbona ndiyo ilikuwa njia ya kutoboa kirahisi Sasa.
Unazama machimboni unawauzia namna hiyo na kuwakopesha kwa mfumo huo
Kuweni na imani na Wazee Mkuu π€Ila ninachowakubali wazee wa 47 kila mmoja ukikutana nae akikupa stori za ujanani ni alikuwa kiranja, anashika namba moja mpaka namaliza 7, anapendwa na walimu wote, wanawake au vigori wanapenda stori zake za ucheshi....hawa ndo wazee wa FotinSeven, capteni wao Graham π€£π€£π€£
Ngoja na sisi tutaleta zetu za 80 π
Wewe kama Mzee wangu akianza na mavyeti yake Bismark plus anajifanya mtaalamu wa ku-bake ikifika weekend kisa wajerumani wamemfundisha kukanda π€£π€£π€£Kuweni na imani na Wazee Mkuu π€
Wazee wote tulikuwa vichwa sana shuleni
Imagine unafundishwa class na Mwalimu Mzungu akiwa na bastola yake kiunoni, lakini bado tuliweza kuhitimu darasa la 12 tukiwa na ufauru wa kiwango cha juu π€
Ninyi mkianza kutoa hadithi zenu za Mwaka 80 mtakuwa mnazungumzia harakati za kuanzisha mziki wa Bongo fleva tu π
Hahaha......full kujiaminiWewe kama Mzee wangu akianza na mavyeti yake Bismark plus anajifanya mtaalamu wa ku-bake ikifika weekend kisa wajerumani wamemfundisha kukanda π€£π€£π€£
πmkuu,nawatoto 8 wote nimewaingiza serikalini...nimewaaga mwakani naacha kazi serikalini naenda kuchunga ng'ombe zangu 40 na mbuzi 80......imetosha miaka 29 serikalini ....... naenda kulima