Ulifanyaje ulipoachika?

Nina collection yangu ya nyimbo za Abiudi Misholi. Nikilimwa kibuti ndio naziskiliza, zinanijaza stress mara 100 za mambo kibao tofauti tofauti hadi nasahau stress za mwanzo.

Unabando nikurushie?๐Ÿ˜…
 
Nina collection yangu ya nyimbo za Abiudi Misholi. Nikilimwa kibuti ndio naziskiliza, zinanijaza stress mara 100 za mabo kibao hadi nasahau stress za mwanzo.

Unabando nikurushie?๐Ÿ˜…
Ninazo za munishi namskiza pastor munishi malebo
 
Kabisa yaan
 
Sikuzote nasema bahati muda Mwingine uwapata wasio na haja nayo.Daaa,ni ningekutunza zaidi ya mtoto...hiyo pesa ya kupewa pasipo kuomba si angeuliza hata size ya kiatu uvaacho akusuprise laaziz.Ila ukome,mnajeuri sana wanaume๐Ÿ˜ 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Angekuwa anadanganyia danganyia na vizawad uchwara huenda angekula zaid ya hyo lakii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ