Dah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba.
Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki Moja ambayo Haina maelezo yoyote π€
She was like... Umm babe naomba shilingi laki Mojaπ±π± meseji ikaishia hapo.
NAMI sikujibu chochote nione reaction Yake mpaka zilipoanza lawama kwamba nimekua bahili siku hiziπ¬π¬
Nikawambia yes mimi ni bahili so what, akadai tuachane.
NAMI nikaona poa tu maana Amna mambo apa zaidi ya kuchunwa tu㪠sijataka kuhoji kuhusu ile pesa nilomtumia bila kuomba.
Nipo nipo tu kichwa kime hangπππ
Kumbe kuachwa ndo inakua hiviπ±π±
Ila naona kama nimetua ka mzigo Fulani hivi, kuachana na hii Toyota brevis π ila Kuna mda naanza kumuwazia Tena
Ebu nipeni mbinu nifanyeje ku overcome ishu kama hii
mzabzab
Mzee wa kupambania
Eti
To yeye mtu anaekutumia pesa bila kuomba ni bahiliπ€
Shunie Antonnia Depal Chakorii ebu kuweni na huruma na pesa zetu wandugu