Ulifanyaje ulipoachika?

Ulifanyaje ulipoachika?

Dah yaani hapa natoka kuachika Kwa sababu ambazo naziona sio za msingi kabisa, nimempa 100k akafanye ishu zake nyingine bila hata kuniomba.

Hata Asante hakusema, juzi ananiomba Tena shilling laki Moja ambayo Haina maelezo yoyote 🤔
She was like... Umm babe naomba shilingi laki Moja😱😱 meseji ikaishia hapo.

NAMI sikujibu chochote nione reaction Yake mpaka zilipoanza lawama kwamba nimekua bahili siku hizi😬😬
Nikawambia yes mimi ni bahili so what, akadai tuachane.

NAMI nikaona poa tu maana Amna mambo apa zaidi ya kuchunwa tu😬 sijataka kuhoji kuhusu ile pesa nilomtumia bila kuomba.

Nipo nipo tu kichwa kime hang😇😇😇

Kumbe kuachwa ndo inakua hivi😱😱
Ila naona kama nimetua ka mzigo Fulani hivi, kuachana na hii Toyota brevis 😂 ila Kuna mda naanza kumuwazia Tena

Ebu nipeni mbinu nifanyeje ku overcome ishu kama hii
mzabzab
Mzee wa kupambania

Eti To yeye mtu anaekutumia pesa bila kuomba ni bahili🤔
Shunie Antonnia Depal Chakorii ebu kuweni na huruma na pesa zetu wandugu
Very eazy to overcome!!!!!Kua na mentality na postive ego ya kianaume kua wanawake wapo wengi atakuja mwingine!!!!Sawa bro
 
Kaka mwachi unadai mpaka shuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na yeye akikudai energy yake kwenye..............!!!Utasemaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]

Mbona ata mimi nimetumia enegy kubwa sana af kile kitu hatutakiwi kunyimana tungekuwa tunapeana kama kuku tu hanavyo peana
 
Sikuzote nasema bahati muda Mwingine uwapata wasio na haja nayo.Daaa,ni ningekutunza zaidi ya mtoto...hiyo pesa ya kupewa pasipo kuomba si angeuliza hata size ya kiatu uvaacho akusuprise laaziz.Ila ukome,mnajeuri sana wanaume😠
Santos06 tabu yote ya nini, hebu jiweke kwa bibie toyeye.. Ni mrembo haswaa, kwa comments zake naona anajali kabisa, moyo wake ni mgodi wa almasi japo wachimba chumvi wametia tia doa.

Tukae hapa mwanangu.
 
Eti jamani.
Mie ningekuwa namsugua mpaka miguu santos sitaki babe wangu ainame iname aumie..
Huyo mdada ngoja aende mtaani akutane na wakina fudenge anaenda na nauli yako anamchakataza na kurudi anarudi na nauli yake anaambiwa mamiloo subiri kwanza kuna hela naisikilizia.
😂😂🤜🤜
 
Back
Top Bottom