Ulifanyaje ulipoachika?

Ulifanyaje ulipoachika?

Huyo hakupendi Santons na muache aende tu utapata chaguo lako lililo sahihi

Kupata mwanaume ambaye humuombi pesa anayejua wajibu wake kama wewe unampa tu sababu unajua ana mahitaji yake ni wachache sana
 
Sikuzote nasema bahati muda Mwingine uwapata wasio na haja nayo.Daaa,ni ningekutunza zaidi ya mtoto...hiyo pesa ya kupewa pasipo kuomba si angeuliza hata size ya kiatu uvaacho akusuprise laaziz.Ila ukome,mnajeuri sana wanaume😠

Kwenye miti siku zote hakuna wajenzi.

Kuna mfano wa yesu alipoenda nadhani alipozaliwa alikuwa amepanda farasi ,alipofika kwao akapokelewa kwa shangwe sana huku akitandikiwa khanga chini. Sasa farasi akaona na yeye siku aende huko peke yake alipigwa na bonge la suprise,hakuna aliyemshobokea hata chembe.

Wanawake wakiwa kwenye ndoa ikiwa inaenda vizuri ,watajitokeza mamarioo/masela mavi kumpeti peti na kumrubuni kwa akili ya marioo/masela mavi wanaona wakimrubuni na kumpata watapa fedha kutoka kwake na yeye mwanamke pasipo kutumia akili anaona anapendwa sana na mario/msela ,sasa kijichanganya akamuachia mashine basi hapo anakuwa ashavuruga ndoa na akishavuruga masela/mario wanamkimbia maana wanaona atakuwa mzigo.
 
Huyo hakupendi Santons na muache aende tu utapata chaguo lako lililo sahihi

Kupata mwanaume ambaye humuombi pesa anayejua wajibu wake kama wewe unampa tu sababu unajua ana mahitaji yake ni wachache sana
🙂🙂🥰 Comment ya kutufungia Uzi kwa Leo, Asante sana
 
Back
Top Bottom