Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
[emoji122][emoji122][emoji122] itakuwa vyema sanaMods kuna uzi wa Mhenga(BAK) tangu 2007 unazungumzia hii mada, ufukueni halafu muunganishe na huu tujue ID za wahenga zina maana gani
Kimang'ati
I liked the part tooNi jina la kisanii la mwigizaj wa kifilipino Bea Alonzo alilotumia kwenye telenovela ya "It might be u" nilipenda part aloplay na misukosuko ya kimapenzi alokutana nayo!
Duh,hahaha.kama ya olkokora arushaJina langu ENJAI YA KYASHA linamanisha bangi inayotoka sehemu fulani za milimani panaitwa Kyasha hiyo bangi inaaminika kuwapa watu consciousness ya maana.
Delta Force
cute....Sielewi mleta mada anataka nini
Acha uwongo...kwani msichana mbaya yupoje?Munchamuja ni neno la kilugha,muunganiko wa maneno mawili muncha= msichana,muja=mzuri.kwa hio msichana mzuri.ila mie sio kihivyo ni ID tu.