Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

haya ni majina ya ukweli ya kwangu but kwenye makaratasi ya serikali natambulika kama IDDY MHANDO....so kilichobadilika ni hiyo I kuwa E...INFACT maana ya EDDY ni maji yanayopanda mlima
 
mie maanake nikitupia maneno kwa mdada hawez kukataaa ...thus why wasumu ...
Hahahaaaaa asee we bayamaa uko nalanganisha batu humu, kwan we uko nan mpaka mafie boote basikatae au uko mloz!!
 
Mi sikujiita Jane mwenyewe. Nilipewa jina na wazazi. Sasa hapo anataka nimjibu nini kwenye uzi wake?
Kwan we unataka umjib nn kwny uzi wake? kama ukiona huna jib kaulze wazaz(wakwe) walokupa jina
 
Ili ni jina la samaki mwenye sifa flani ivi ambaye bibi yangu alimpenda sana.Am out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…