Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

Penda/poa niku ongeze tuwe marafiki (umoja ni nguvu utengano ni dhaifu) marafiki wanaplay part kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku
 
Mie yangu ni mpishi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
BAK aliwahi kuanzisha thread yenye mrengo huu, na watu wakatoa experience zao, sio vibaya ikiunganishwa na hii ili kuleta mtiririko mzuri zaidi. cc: PainKiller
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsante sana Mkuu hapa ndipo nilipokuwa ninapopataka, kiukweli binafsi kila siku na wakati ninapo mkumbuka Allah huwa nina sali na kutoa mchango wangu wa kimawazo n.k ikihitajika kuiondoa CCM madarakani iliyoshindwa kutuletea maendeleo zaidi ya miaka 55 ya uhuru hata kula tu kuna tushinda wenzetu wamepiga hatua ktk sekta zote na kila nyannja KIUCHUMI,KIJAMII,KISIASA,KIUTAMADUNI N.K.sisi bado tunatambaa.

Haiwezekani nchi yetu iliyojaliwa na Muumba wetu kuwa na kila aina ya Rasilimali kujaa MAZIWA NA ASALI ambapo wachache hunufaika na wengi hufa kwa kukosa huduma za msingi kama AFYA,MLO,MALAZI, ELIMU n.k alafu bado tunaendelea kudanganywa na propaganda za CCM hadi leo SUKARI TU NI MSAMIATI kwa jamii na sehemu nyingi ilikhali tuna viwanda bado viongozi wanatudanganya kwakuwa wao hawajui hata bei ya sukari dukani.
Ukweli nina umia sana na lati Mungu angelinipa nafasi ya Urais ningeliiga mfano wa Rais wa Korea ya Kaskazini ningeliwapanga wahujumu nchi wote,Viongozi wote walio HAI NA HATA WASIO HAI kama ulihujumu nchi na ika thibitika nitawapa adhabu stahiki ikiwemo kuwafilisi MALI ZAO NA FAMILIA,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WOTE WALIO HUSIKA NA KUIGAWA KWA WANANCHI MASIKINI,KUWAFUNGA GEREZANI NA ADHABU YA VIBOKO KUTWA MARA 3, NA KUWANYONGA HADI KUFA INAPO BIDI ADHABU ZOTE KWA PAMOJA.
Kwa wasio HAI na ikathibitika pia kipindi chao cha uongozi walihujumu nchi NITAPIGA MINYORORO MAKABURI YAO NA HATA KUNYONGA MAFUVU YAO KUONYESHA UCHUNGU NILIO NAO ILI WENGINE WASIRUDIE NA KWA NDUGU ZAO,FAMILIA,JAMAA NA MARAFIKI WALIO HUSIKA NA MAREHEMU HUYO/HAO KUHUJUMU ITAWAHUSU PIA SAWASAWA NA KUACHANA NA HIZI NGONJERA ZA KISIASA WAKATI WENGINE WANAKUFA NA WALIKUFA SABABU YAO.
Ninamuomba Mungu anisaidie siku moja huenda nikawa Kiongozi mkubwa katika nchi hii WOATE WATAISOMA NAMBA HAIJALISHI UKO HAI AU ULIKUFA ITA KUHUSU PAMOJA NA TEAM YAKO ILIYOBAKI.Hakika nitawaadhibu kuanzia SHINA,MIZIZI,MATAWI,MATUNDA N.K.. no one will escape.
Mfano mama yangu alifariki kwa kukosa huduma muhimu kama AFYA, japo siku zake huenda zilifika lakini hakutendewa haki kimatibabu hospitalini na kimahitaji sababu ya ukata na ugumu wa maisha tuliokuwa nao.Na mungu amlaze mahala Pema Peponi Amin. Na sisemi serikali ingelimfanyia hayo yote ila seriakali ilipaswa kuwekea huduma bora za afya na mengineyo ambapo sisi wahusika tungelikuwa na khali nzuri kwa kupata maisha bora na kuwasaidia Familia,Ndugu,Jamaa,Marafiki,Taifa,Kimatiafa na Ulimwengu mzima ila kila kukicha ni kilio cha ugumu wa maisha....kila kitu ni kilio hadi sasa.Na bado ni siasa zinaendelea huku Watz. tunateseka hadi kufa na ugumu wa maisha kwa kukosa huduma bora sababu ya wachache...nina mengi machungu ya moyoni....one day I wish by the wish of God..
TUACHE MASIAHARA NA MAISHA KWANI HAKUNA REPLAY YA MAISHA UKIPOTEZA UMEPOTEZA KWELI NA TUACHE UMIMI...NCHI HII NI YA KWETU SOTE..KWANINI WACHACHE WAIFANYE NI YA KWAO PEKE YAO NA HAO NDIYO WENYE UHALALI KUISHI TU????
ZAIDI KILA MMOJA AJUE ATATOA HESABU YAKE SIKU ZAMWISHO,WATU WASIJALI MATUMBO YAO NA FAMILIA ZAO TU NA WENGINE KUACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA MATUMBO ETI KISA MALIPO YA UDHALILISHAJI KUTETEA VIFO VYA WENZAO..

Bridalmask iyo movie ni sooo sana! Inasikitisha na kufurahisha kwy ukombozi wa wa Korea from Japan km sijakosea
 
Yangu imejikita katika msisitizo wa jamii kujikita katika kilimo cha Pamba.
 
′ Tape measure
This is a long, flexible strip or ribbon, as of cloth or metal, marked with subdivisions of the foot or meter and used for measuring. Also called tape•line (ˈteɪpˌlaɪn)
 
Back
Top Bottom