Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Gwa kashina mwana wa pakaya?!
Naam...ah..kumbe sio mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwa kashina mwana wa pakaya?!
Wakuu,kwanza nikiri wazi kwamba JF siyo tu mtandao wa kupashana habari na kuongeza uwezo wa kujenga hoja kinzani lakini pia,ni moja kati ya sehemu inayonipa raha hata ninapokuwa na stress kutokana na shughuli za kila siku. Leo napenda tuchangie mada hii iliyonifanya nicheke baada ya kutathmini baadhi ya majina ambayo watu wanayatumia hapa JF mfano Mbogo,Popobawa,Gandagumu,Mtimkavu,Mcameroon,kitimoto n.k Binafsi nilipojibatiza jina la Gandagumu ilikuwa ni kuendeleza kumbukumbu ya itikadi ya U-hardcore niliyokuwa nayo sekondari miaka mingi iliyopita.Niliamini katika kujikaza na kupambana kuyafanya yale ambayo wengi wanashindwa kuanzia lifestyles,mtazamo,maamuzi,mahusiano na weledi...! |Je,wewe ulifikiria nini ulipojibatiza jina unalolitumia hapa JF?