Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

[emoji2][emoji2][emoji1][emoji1] hama bank
 
Real meaning of hustle, Ila hakuna mahali ulipojaribu ukakwama zaidi ya kuomba kazi
 
Hapo kwenye makalio ya wadada, ni kweli kabisa maana kufumbia macho misambwanda wakati una hela inabidi uwe roho ngumu haswa
 
Big up sana kiongozi...
 
Huu ujinga sitakuja kuufanya maisha yangu yote hapa duniani

Nasave kiasi, naishi sehemu nzuri, nakula vizuri, nasiidia wazazi na ndugu muhimu,, nashiriki matukio ya kijamii pia

Maendeleo yapo, sio lazima kujitesa na kujinyima kiasi iko mpaka maana ya kufanya kazi na kufurahia maisha hapa duniani inakosekama
 
KING
Tatizo mnaleta mizaha kwenye vitu serious.

kama weww tu uko hivyo, Je wafanyakazi wa benki wataweza kusev kweli?

kama vipi wewe endelea kutumia tu
 
Ila kusave Kunahitaji moyo, kuna kipindi natembea uchi maana mchezo wa Kila siku hata chupi unashindwa kununua ila chupi kitu gani bwana?
Mbususu inapata natural air flow au sio🤣🤣🤣🤣 huu ubahili ni wa kimataifa
 
Nimewahi kujiwekea eti lazima niwe na 5M kwa acc imetulia wee! haijawahi fika hiyo hela hata.

Lakini hata hivyo huwa wazo linakuja, kuliko kutunza hela [figures kwenye computer] si bora ninunue kitu halisi nikimiliki nikifaidi hivi laivu? Bado najifunza uwekezaji hilo lengo la 5M, 10M 300M litafikiwagwa tu Inshallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…