Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

Mali ya wizi anaeuza hamjui anaemuuzia (muhimu yeye apate hela yake)

hivyo ikitokea muuzaji kadakwa huko kaambiwa twende ulikouza Kitu flani

Hata apigwe atolewe macho hana pakuwapeleka wahusika maana mnunuaji

hajulikani anakaa wapi,anapatikana wapi so kesi anabaki nayo mwenyewe Muuzaji

mnunuaji yuko huko kimya hajulikani alipo wala anakaa wapi,so inakaa namna hiyo.
 
Mali ya wizi anaeuza hamjui anaemuuzia (muhimu yeye apate hela yake)

hivyo ikitokea muuzaji kadakwa huko kaambiwa twende ulikouza Kitu flani.
Mkuu umejibu lakn umekwepa hapo hapo

Mimi nataka niwe nanunua piki piki kwa mtu then nauza, katika kufanya biashara ya hivi matukio yà kuuziwa pikipiki ya wizi mtu anaweza kutana nalo

Swali langu ndio liko hapo

Wewe umejiwekea mfumo upi wa kukwepa kununua pikipiki ya aina hii, sijui umenipata? Au ni njia ipi hua watumia kuthibitisha Kwamba pikipiki unayouziwa ni Mali ya huyo anae kuuzia na sio imepigwa mahali.
 

Soma hili jibu langu hapa👇👇 taratibu na kwa makini utajua nakwepaje kununua hiyo pikipiki direct toka kwa muuzaji.

 
VICOBA = Village Commercial Bank...
Nakushauri bora pesa yako ukainvest sehemu au uingie partnership au ununulie ata shares kama una knowledge na hivyo vitu kuliko uko Kwenye VICOBA na masaccos,uko ujanja mwingi watu wanacheza na % tu..
Wanacheza na %! Samahani ndugu naomba nifafanulie hapa umemaanisha nini?
 
Like seriously.... genge la mbogamboga anauza 800K kwa siku ?
 
Hongera mkuu
 
Hiyo hiace IPO barabarani kila siku? Hamna service?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…