Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
Mimi ni raia wa Tz, na kwa USA ni permanent resident. Kwa hio sishughuliki na embassy tena. Unaruhusiwa kukaa nje ya USA kwa muda mrefu tu, ila inabidi ufuate rules fulani za US immigration.
Ulizamiaje huko Mkuu huku ukiwa huna cha kuanzia.