Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nitaifata mkuu.Kwanini usiweke bank ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaifata mkuu.Kwanini usiweke bank ?
Ukiwa peke yako ni ngumu kujicontrol ukiwa na kikundi strong utatoa tuKwanini usiweke bank ?
Benki siwezi kuweka Kila siku ni ngumu kujicontrol mwenyewe ila kikundi utaweka tuUsiwe na hio app kama unahitaji kuweka akiba/unaishi kwa bajeti
Mwache acheze na Mungu, sitapururuka zote uanze kusema chuma uleteUna uhakika hujawai shika!!
Nilifungua account maalum ya savings ambayo sitoi...
Nilifungua account maalum ya savings ambayo sitoi...
Anza hata biashara ya barafu usave hata 1000 kwa sikuDah sijashika hata 1m cash mkononi bado napambana ukipata ya kula inaisha kesho unasaka nyingine..hata kudunduliza akiba tu mtihan..
Labda hutaki tu. Hela mbona ipo nyingi tu mtaani. Kitu muhimu usichague biashara ya kufanya. Kushika milioni 10 ni rahisi sanaDah sijashika hata 1m cash mkononi bado napambana ukipata ya kula inaisha kesho unasaka nyingine..hata kudunduliza akiba tu mtihan..
Milioni kumi ya kwanza cash niliipata through betting. Ila kidogo kidogo nishashika ela nyingi tuHabari jf
Katka kupambana na maisha kuna malengo tunajiwekea Shida n changamoto ya kuyafikia. Mwanzo mwa mwaka 2016 nilijiwekea target kufikisha milion 3...
Mkuu hata mm, the same company, betpawaBetpawa.😀
Mkuu uliweka stake ngapi na odds zilikuwa ngapi?Milioni kumi ya kwanza cash niliipata through betting. Ila kidogo kidogo nishashika ela nyingi tu
Stake 20k na odds zilikuwa kama 400+ iviMkuu uliweka stake ngapi na odds zilikuwa ngapi?
Big up sana una bahati mm hta kamilioni sijawahi kufikishaStake 20k na odds zilikuwa kama 400+ ivi
Aisee!Labda hutaki tu. Hela mbona ipo nyingi tu mtaani. Kitu muhimu usichague biashara ya kufanya. Kushika milioni 10 ni rahisi sana
Mkuu usiwe na wasi utazishika tu hizo ukishastaafu...yaani mafao ya nssf ukifika 55 to 60