DR WISEMAN
New Member
- Jun 5, 2024
- 2
- 0
PALE AMABAPO UTAKUA HUKUJIPANGA LAZOMA UUMIE MAANA KUAJIRIWA NI ULEMAVU.Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya...
Mimi Nina swali,sio kwa ubaya.. huwa inatokana na Nini mtu anafanya kazi miaka mitano,but akipigwa chini miezi miwili tu analia njaa,
Hata akiba ya Kuanza biashara ndogo Huwa hakuna??hata Hela ya kula miezi sita wakati unajitafuta hakuna??
Changamoto inakuga Nini??
Mzee juzi napita sehemu nasikia wale maafisa wa tasaf wanawasimanga wazee kuwa siku sio nyingi ata hii amtaipata wazee wanasonya kimya kimya tu sasa vijana mbona Hawa watachambwa bila hurumaSerikali ya CCM ianze kulipa wasomi wasio na kazi angalau mlo wa siku
Anafurahi wewe kupitia hali hiyoHapa huwa sijawahi kuelewa unamcheka vipi mtu anayepitia kipindi kigumu?