Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa.

Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu.

Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Wewe kwa miezi miwili tu umeona uchungu huo..

Mimi nilikumbana na hiyo hali kwa mwaka mzima. Nilipoanguka kwanza nikaanza kuona aibu na degree yangu kuwa watu watanionaje(kitendo hiki kilikuwa kosa sana maana kilininyima fursa ya kujichanganya mtaani ambapo ningesaidika hata kwa kazi za saidia fundi).

Katika sintofahamu mitandaoni nikaangukia Telegram nikakutana na kitu kinaitwa FIEXD ODDS za kubetia ambapo matangazo yalikuwa yanapostiwa kwenye baadhi ya Channel yakionesha mikeka inavyotiki kwa kulinganisha na mikeka ya FIXED ODDS iliyoandaliwa kabla ya mechi kuanza(ilikuwa kosa kubwa sana kuamini hicho kitu, kumbe walikuwa matapeli).

Mikeka ilikuwa inapostiwa kwa mtindo wa screenshots za email ambazo zinasemekana zinatoka kwa wapanga mechi na kuwauzia hao mawakala(matapeli) ili na wao waje watuzie halaiki iliyopo kwenye hiyo Channel kwa sharti la kulipia Channel ya VVIP ambapo kule mikeka inatumwa bila kufichwa matokeo ya mechi. Nawarudisha kwenye Para ya juu kidogo, Kabla ya mechi mikeka hiyo ilikuwa inatumwa kwa kufichwa matokeo ya mechi ila ikionesha ODDS na jumla yake ambapo ukipiga hayo mahesabu na kiasi unachotaka kuweka utatoboa ukishinda, then baada ya mechi huo huo mkeka uliotumwa kwa kufichwa utatumwa tena kwa uwazi na utaona kabisa ODDS ni zile zile na matokeo ya mechi nimkweli yale yale yanayoonekana kwenye mkeka.

Hicho kitu kilinishawishi sana nikaamua kumfuata muhusika kwa kuuza hizo FIXED ODDS inbox ili anipe mwongozo wa kujiunga, huku akilini nikijisemea nikizipata hizi ODDS lazima nitaweka kiasi ambacho nikishinda nitatoboa moja kwa moja. Baada ya kumcheki huyo jamaa ambaye alionekana ni MZUNGU🙂D😀) akaniambia kuna option za kulipia VVIP yaani weekly plan au monthly plan na bei yake, nilivyoambiwa hivyo nikaona zote siwezi kuzimudu maana sikuwa na hela, nikamuomba anipunguzie ili ninunue mkeka mmoja tu, akanipa bei. Baada ya hapo nikaamua kutafuta hela kwa kukopa kutoka kwa ndugu karibia jumla ya shilingi laki 4 na nusu bila kuwaambia naenda kuzifanyia nini huku nikiwaahidi kuwarudishia mapema.

Nilipopata hiyo hela nikaenda kulipia kwa huyo MZUNGU wa Telegram kupitia World Remit, hapo nikashusha pumzi kidogo nikamtumia screenshot ili aconfirm malipo huku mimi akilini najisemea hapa natoboa soon. MZUNGU alipoconfirm akaniambia sasa inatakiwa ulipie tena SUBSCRPTION FEE kiasi ambacho kilikuwa kidogo kulinganisha na malipo ya awali ili niungwe moja kwa moja kwenye VVIP Channel, Daah nilikasirika nikamwambia mbona hukusema kama natakiwa kulipia mara mbili na sasa sina hela maana nilibakiwa na kama elfu 10 ya kitanzania ambayo nilipiga hesabu nikiitioa kwenye hizo SURE ODDS ningetoboa, MZUNGU alikomaa akasema lipia tena. Sikuwa na namna huku ndio niliona njia rahisi ya kutoboa na kuondpokana na hali ngumu niliyokuwa nayo, nikamwambia ngoja niendelee kutafuta nikipata nitalipia ili niungwe.

Nikaamua kumvutia waya Ndugu mwingine ambaye nilikuwa sijamuomba anikopeshe kwenye mkopo wa kwanza, baada ya kumwambia nina shida kama laki na nusu hivi alinipiga tarehe na sikuwa na jinsi nikasema sawa nasubiri hiyo tarehe kama wiki moja hivi mbele ili aje anitumie hiyo hela. Wakati nasubiri hiyo tarehe ifike nilikuwa nashinda ndani geto tu kutwa nzima nikiwa nafuatilia jinsi FIXED ODDS zinavyopostiwa na watu jinsi wanavyozichangamkia huku wakishinda na kuleta mirejesho jinsi walivyofanikiwa kubadili hali ya maisha yao, wengi wao wakiwa ni WANIGERIA, Mtanzania mmoja aliwahi kupostiwa akionekana kupiga picha mbele ya gari kali alilolinunua kupitia BETTING ya SURE ODDS, niliamua kumfuata yule jamaa na kumuomba anikopeshe kiasi ambacho nilitakiwa kumalizia kulipa ili baada nije nimlipe, Jamaa alikataa akasema pambana maana hatujuani siwezi kukupa, cha kushangaza huyo jamaa sikuwahi kumuona online tena huku Telegram labda aliniblock.

Siku ziliendelea kusonga mbele huku nilikiwa na shauku ya kusubiri hela kutoka kwa ndugu yule ili nije nimalizie malipo ya FIXED ODDS na niweze kutusu maisha. Nikiwa ndani geto nilikuwa nawaza sana aisee, yale mawazo ambayo unawaza ukiwa umelala kwa kufumba macho tu huku ukiwa hauna usingizi, niliwaza mambo mengi sana ambayo ningekuja kuyafanya endapo nikitusua. Siku ilipofika Ndugu akanitumia hiyo hela nilifurahi nikaamua kulipia kwa yule MZUNGU wa Telegram, nikalipia chap nikamtumia screenshot then nikamwambia hakiki muamala, akaniambia subiri nihakiki. Daahh, USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA, MZUNGU ilimchukua kama lisaa na nusu hajaniunga nilipomcheki akaniambia subiri BOSS wake ataniunga kwa kunitumia link, nikasubiri tena, baadae nikamkumbusha. Mara Paap nikapigwa BLOCK, Nilichanganyikiwa huku nikagundua nimetapeliwa nikabaki kuugulia maumivu nikashindwa nifanyeje nipo pekee yangu Geto. Nikaamua kufungua ID nyingine Telegram kwa namba nyingine ya simu ili nimtafute yule MZUNGU na kumueleza jinsi nilivyosikitishwa na hicho kitendo na kumueleza nilivyoingia hasara maana hela yote nilikopa, nilifanikiwa kumpata nikajitambulisha na kumueleza nikapigwa BLOCK ya pili. Hadi hapo nikakubaliana na hali.

Kilichofuata ni DEPRESSION, nikawa nashindwa kula, yaani hamna hamu kabisa ya kula, nikazorota kiafya kiasi cha kushindwa kutembea vizuri, nikaamua kuanza kutoka geto na kwenda kutembea huko mtaani ili nitafute vibarua ila huko nikiwa natembea nashindwa maana nachoka sana kumaliza kilomita moja ni kwa mbinde naishia kurudi Geto kupumzika huku mawazo yakiwa yamenijaa kichwani. Baada ya miezi 3 mbele nikawa nashindwa hadi kuvaa viatu vya wazi kutokana na hali ya mawazo na afya kudorora.

Hali ile ilichukua mwaka mzima kuanzia kuanguka kiuchumi hadi kuja kutengamaa, bahati nzuri Ndugu waliamua kuokoa Jahazi kwa kunipa hela za chakula huku hela ya Geto nilimpanga mwenye Geto akanielewa na kutonidai kwa kipindi hicho kigumu ila nilikuja kumlipa baada ya kupita hiyo hali.

NB: ILE HALI ANGEKUWA MTU MWINGINE MWENYE ROHO NYEPESI ANGEKUWA KASHAJITUNDIKA
 
Mimi nilikumbana na hiyo hali kwa mwaka mzima. Nilipoanguka kwanza nikaanza kuona aibu na degree yangu kuwa watu aada ya kupita hiyo hali.

NB: ILE HALI ANGEKUWA MTU MWINGINE MWENYE ROHO NYEPESI ANGEKUWA KASHAJITUNDIKA
Dah! Pole sana mkuu kwa mapito uliyopitia
 
Mimi Nina swali,sio kwa ubaya.. huwa inatokana na Nini mtu anafanya kazi miaka mitano,but akipigwa chini miezi miwili tu analia njaa,

Hata akiba ya Kuanza biashara ndogo Huwa hakuna??hata Hela ya kula miezi sita wakati unajitafuta hakuna??

Changamoto inakuga Nini??
unakuta unacholipwa ndio unachokula...mwezi ukiisha na hela imesiha unasubir tena mshahara mwingine
 
duh hatari jamani...pole sana mwanawane
 
Acha tu hiyo hali at some point katika maisha lazima uyumbe, nakumbuka 2014 nimemaliza chuo. Nikasema siendi home ngoja ni baki Mwanza ni hustle... Kodi ikaisha nika hamia kwa muhuni wangu mmoja anakaa mkuyuni, sasa huko ndo nikaja kupata ugali dagaa wa jero. Ila unapatikana mchana tu.... So kula ni kila saa sita na nusu mchana. Hauna nauli hata ya kwenda mjini kuta futa hiyo kazi, bili za maji, umeme ilikuwa changamoto sana. Demu akaja niacha maana kiukweli hakuona future... Hii ilikuwa ndo me against the world. Ila nothing is permanent in this life.
Lifel lika songa nikaja kujipata early 2016 baada ya trial and error nyingi sana
hahaha aisee achana na hawa viumbe, yaani ukipoteza kazi hawakuvumilii kabisa wanakubwaga.
 
Wewe mbona upo stage nzuri tu ya kuchanganyikiwa.... imagine jobless hajawahi kua na mishe ya maana na anasurvive
Babu usiombe hii kitu. Ilinikuta na nina watoto watatu. Wote wanatakiwa kurudi shule…hapo nina ada ya kianzio ya mtoto mmoja! Nikalipa robo ya kwanza ya huyu mkubwa…wawili wakapaki basi home. Tunaamka tunatizamana huku stock ya msosi inaendelea kukata. Nilikopa hadi kwa Ex- wangu! Ila Mungu acha aitwe Mungu tu! Miezi miwili field opportunity ikatokea. Sijatoka kabisa kwenye red kwakua fursa iliyopatokana sio ya kudumu ila namshukuru Mungu! Na ndevu zangu hizi ila mama alijichanga akanipiga na 100k! Sijawahi kuona 100k ya thamani kama ile…ilikua na thamani kubwa sana kwangu, almost sawa na 10m. Hapo mke na watoto wanakutegemea wewe! Nyie…
 
Pole sana kaka!
 
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa.

Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu.

Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.

Bongo hata ukiwa na kazi bado unaunga unga maana mishahara yenyewe PENENGE aka "MANARA".
 
itakua mtoto wa kishua wewe sio kwa ubaya lakin , vipato vya tiamaji tiamaji hua mshahara haukutani na mwezi mwingine ukilipwa mshahara leo rumba linaanza next week una survive week mbili nyingine ukisubir mshahara kinachokuokoa ni hicho kibarua unakua unakopesheka kitaa na ndio utumwa unapoanzia ukishika tu fungu linaishia kwa wadeni ili ukope tena
Unaingia kwnye debt cycle na hii ndio hali yangu kwasasa sijawahi shika mshahara wangu kamili kwa muda wa mwaka sasa kila nikipata 60% madeni mimi nabaki na 40% nasurvive kisoja

Lakini watoto wazuri wananipenda hivyo hivyo sijui kwa nini sikuhizi wakati kipindi ninasent hata demu mbovu alikua ananizungusha
 
de
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa.

Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu.

Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaung

Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa.

Jamaa unakonda ubaki kichwa tu, nimejiapiza hata home likitokea tatizo siwezi kwenda kwa muonekano huu.

Kama umewahi kupita nyakati kama hizi share hapa na wadau siku yako ilivyokua inapita kwa kuungaunga.
Asee hii situation ilinikuta soon after kumaliza chuo, nilikuwa nimetoka kufanya operation ya hernia alafu nikafikia gheto mjomba aliniacha akaenda dar baada ya mamb yake kuwa magum, nakumbuka ilikuwa napopata chakula sili kwa raha nawaza kesho ntakula Nini?, washikj wa mtaani wananipa madili ya kutumia nguvu wakati huo siwez maan sijapona vizur mshono wangu.

Nikapata kajob kuwa konda kwnye guta/toyo ya kubeba miziigo maan ilikuwa Sina namna ili nipate hela ya kula tu...
Nakumbuka kila nikinyanyua mzigo mauvivu kwnye mshono aseee niliteseka sana
Lakin mungu ni mwema asahv Nina kakitambi changu kwa mbali😁
 
Wewe kwa miezi miwili tu umeona uchungu huo..

Mimi nilikumbana na hiyo hali kwa mwaka mzima. Nilipoanguka kwanza nikaanza kuona aibu na degree yangu kuwa watu watanionaje(kitendo hiki kilikuwa kosa sana maana kilininyima fursa ya kujichanganya mtaani ambapo ningesaidika hata kwa kazi za saidia fundi).

Katika sintofahamu mitandaoni nikaangukia Telegram nikakutana na kitu kinaitwa FIEXD ODDS za kubetia ambapo matangazo yalikuwa yanapostiwa kwenye baadhi ya Channel yakionesha mikeka inavyotiki kwa kulinganisha na mikeka ya FIXED ODDS iliyoandaliwa kabla ya mechi kuanza(ilikuwa kosa kubwa sana kuamini hicho kitu, kumbe walikuwa matapeli).

Mikeka ilikuwa inapostiwa kwa mtindo wa screenshots za email ambazo zinasemekana zinatoka kwa wapanga mechi na kuwauzia hao mawakala(matapeli) ili na wao waje watuzie halaiki iliyopo kwenye hiyo Channel kwa sharti la kulipia Channel ya VVIP ambapo kule mikeka inatumwa bila kufichwa matokeo ya mechi. Nawarudisha kwenye Para ya juu kidogo, Kabla ya mechi mikeka hiyo ilikuwa inatumwa kwa kufichwa matokeo ya mechi ila ikionesha ODDS na jumla yake ambapo ukipiga hayo mahesabu na kiasi unachotaka kuweka utatoboa ukishinda, then baada ya mechi huo huo mkeka uliotumwa kwa kufichwa utatumwa tena kwa uwazi na utaona kabisa ODDS ni zile zile na matokeo ya mechi nimkweli yale yale yanayoonekana kwenye mkeka.

Hicho kitu kilinishawishi sana nikaamua kumfuata muhusika kwa kuuza hizo FIXED ODDS inbox ili anipe mwongozo wa kujiunga, huku akilini nikijisemea nikizipata hizi ODDS lazima nitaweka kiasi ambacho nikishinda nitatoboa moja kwa moja. Baada ya kumcheki huyo jamaa ambaye alionekana ni MZUNGU🙂D😀) akaniambia kuna option za kulipia VVIP yaani weekly plan au monthly plan na bei yake, nilivyoambiwa hivyo nikaona zote siwezi kuzimudu maana sikuwa na hela, nikamuomba anipunguzie ili ninunue mkeka mmoja tu, akanipa bei. Baada ya hapo nikaamua kutafuta hela kwa kukopa kutoka kwa ndugu karibia jumla ya shilingi laki 4 na nusu bila kuwaambia naenda kuzifanyia nini huku nikiwaahidi kuwarudishia mapema.

Nilipopata hiyo hela nikaenda kulipia kwa huyo MZUNGU wa Telegram kupitia World Remit, hapo nikashusha pumzi kidogo nikamtumia screenshot ili aconfirm malipo huku mimi akilini najisemea hapa natoboa soon. MZUNGU alipoconfirm akaniambia sasa inatakiwa ulipie tena SUBSCRPTION FEE kiasi ambacho kilikuwa kidogo kulinganisha na malipo ya awali ili niungwe moja kwa moja kwenye VVIP Channel, Daah nilikasirika nikamwambia mbona hukusema kama natakiwa kulipia mara mbili na sasa sina hela maana nilibakiwa na kama elfu 10 ya kitanzania ambayo nilipiga hesabu nikiitioa kwenye hizo SURE ODDS ningetoboa, MZUNGU alikomaa akasema lipia tena. Sikuwa na namna huku ndio niliona njia rahisi ya kutoboa na kuondpokana na hali ngumu niliyokuwa nayo, nikamwambia ngoja niendelee kutafuta nikipata nitalipia ili niungwe.

Nikaamua kumvutia waya Ndugu mwingine ambaye nilikuwa sijamuomba anikopeshe kwenye mkopo wa kwanza, baada ya kumwambia nina shida kama laki na nusu hivi alinipiga tarehe na sikuwa na jinsi nikasema sawa nasubiri hiyo tarehe kama wiki moja hivi mbele ili aje anitumie hiyo hela. Wakati nasubiri hiyo tarehe ifike nilikuwa nashinda ndani geto tu kutwa nzima nikiwa nafuatilia jinsi FIXED ODDS zinavyopostiwa na watu jinsi wanavyozichangamkia huku wakishinda na kuleta mirejesho jinsi walivyofanikiwa kubadili hali ya maisha yao, wengi wao wakiwa ni WANIGERIA, Mtanzania mmoja aliwahi kupostiwa akionekana kupiga picha mbele ya gari kali alilolinunua kupitia BETTING ya SURE ODDS, niliamua kumfuata yule jamaa na kumuomba anikopeshe kiasi ambacho nilitakiwa kumalizia kulipa ili baada nije nimlipe, Jamaa alikataa akasema pambana maana hatujuani siwezi kukupa, cha kushangaza huyo jamaa sikuwahi kumuona online tena huku Telegram labda aliniblock.

Siku ziliendelea kusonga mbele huku nilikiwa na shauku ya kusubiri hela kutoka kwa ndugu yule ili nije nimalizie malipo ya FIXED ODDS na niweze kutusu maisha. Nikiwa ndani geto nilikuwa nawaza sana aisee, yale mawazo ambayo unawaza ukiwa umelala kwa kufumba macho tu huku ukiwa hauna usingizi, niliwaza mambo mengi sana ambayo ningekuja kuyafanya endapo nikitusua. Siku ilipofika Ndugu akanitumia hiyo hela nilifurahi nikaamua kulipia kwa yule MZUNGU wa Telegram, nikalipia chap nikamtumia screenshot then nikamwambia hakiki muamala, akaniambia subiri nihakiki. Daahh, USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA, MZUNGU ilimchukua kama lisaa na nusu hajaniunga nilipomcheki akaniambia subiri BOSS wake ataniunga kwa kunitumia link, nikasubiri tena, baadae nikamkumbusha. Mara Paap nikapigwa BLOCK, Nilichanganyikiwa huku nikagundua nimetapeliwa nikabaki kuugulia maumivu nikashindwa nifanyeje nipo pekee yangu Geto. Nikaamua kufungua ID nyingine Telegram kwa namba nyingine ya simu ili nimtafute yule MZUNGU na kumueleza jinsi nilivyosikitishwa na hicho kitendo na kumueleza nilivyoingia hasara maana hela yote nilikopa, nilifanikiwa kumpata nikajitambulisha na kumueleza nikapigwa BLOCK ya pili. Hadi hapo nikakubaliana na hali.

Kilichofuata ni DEPRESSION, nikawa nashindwa kula, yaani hamna hamu kabisa ya kula, nikazorota kiafya kiasi cha kushindwa kutembea vizuri, nikaamua kuanza kutoka geto na kwenda kutembea huko mtaani ili nitafute vibarua ila huko nikiwa natembea nashindwa maana nachoka sana kumaliza kilomita moja ni kwa mbinde naishia kurudi Geto kupumzika huku mawazo yakiwa yamenijaa kichwani. Baada ya miezi 3 mbele nikawa nashindwa hadi kuvaa viatu vya wazi kutokana na hali ya mawazo na afya kudorora.

Hali ile ilichukua mwaka mzima kuanzia kuanguka kiuchumi hadi kuja kutengamaa, bahati nzuri Ndugu waliamua kuokoa Jahazi kwa kunipa hela za chakula huku hela ya Geto nilimpanga mwenye Geto akanielewa na kutonidai kwa kipindi hicho kigumu ila nilikuja kumlipa baada ya kupita hiyo hali.

NB: ILE HALI ANGEKUWA MTU MWINGINE MWENYE ROHO NYEPESI ANGEKUWA KASHAJITUNDIKA
😂😂😂 Aseee pole sana mm mwnyew hii nishwah pigwa Hela lakin niliweka ambacho nawez kulose nilipohwa 45k sure odd ni hatar🤣🤣🤣😅😅 tangu pale nikaleft na group
 
Back
Top Bottom