Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya...
PALE AMABAPO UTAKUA HUKUJIPANGA LAZOMA UUMIE MAANA KUAJIRIWA NI ULEMAVU.
 
Ukisha ajiliwa ukitegemea mshahara uwezi kuweka akina Ndugu yangu subiri yakukute mfumo wa ajira ulivyo wanakulipa hela hela ya nauli, Kodi na kusurved kwenye kula tu wanakupigia mahesabu ndio maana hata ukifukuzwa kazi leo mwezi tu Ile hela kiunus mgongo ikiisha unaalia pia hata ukisema iingie kwenye biashara kama hiyo biashara hauna history nayo itaanguka tu uwezi
Mimi Nina swali,sio kwa ubaya.. huwa inatokana na Nini mtu anafanya kazi miaka mitano,but akipigwa chini miezi miwili tu analia njaa,

Hata akiba ya Kuanza biashara ndogo Huwa hakuna??hata Hela ya kula miezi sita wakati unajitafuta hakuna??

Changamoto inakuga Nini??
 
Kuna uzi niliwahi kuandika hv

Screenshot_20240526-210435.png
 
Aisee nime experience hiki kitu ilinibidi niingie kwenye bajaji ambayo naendesha mpaka sasa but maisha yanaenda Kwa status niliyokua nayo before dah but nilijifunza kitu muhimu sana maishani mwangu
 
Serikali ya CCM ianze kulipa wasomi wasio na kazi angalau mlo wa siku
Mzee juzi napita sehemu nasikia wale maafisa wa tasaf wanawasimanga wazee kuwa siku sio nyingi ata hii amtaipata wazee wanasonya kimya kimya tu sasa vijana mbona Hawa watachambwa bila huruma
 
Maisha ni funzo tosha hasa unapopitia kipindi Cha anguko kama haya wana jf waliyoelezea.....

Inafika kipindi ukiangalia nguo zote zimepauka kama Mimi navyopenda majinzii tuu Tena nyeusi...... Yaani Ila unakaza kama huoni.....

Unakosa hata buku tano ya kulipia bill ya maji au ..... umeme......

Mfano nauli ya kuvukia panton kigambn to kivukoni........ 400 unakosa

Mihogo na viazi ndiyo vyakula pendwa mpka unakopa mihogo ya mia tano...... waheshimiwe wanawake wote wajasiriamali wanafanyika baraka sana kwangu

Kipekee kusaidiwa na mtu Baki kabisa....

Familia yetu , wazazi wangu ndugu zangu wamekuwa the best to i........

Marafiki for sure sijawahi washirikisha chochote ktk ugumu wangu......

Nina mengi lakini niishie hapa kwa Leo.....
 
Picha linaanza nilikuwa mtumishi...maisha ya kisenge kabisa Yale...unategemea mshahara tu...huna mishe nyingine...paap unaenda atm hakuna salary upo chuo kazini wameona unazingua wanakupiga chini huko huko...aisee...niliwaza balaa...kichwa kiliuma balaa nikasema watu wanaishije bila mshahara... Aloo nilipambana nikarudishiwa mshahara hapo hapo nikakaza uzi kwenye biashara ....baadae nkaja items kazi nkaishi vizuri sana...pila linaishia biashara inanza kusua sua na majukumu yameongezeka...Ila NI afadhali kuliko kutegemea mshahara alafu ukatwe hata kwa mwezi tu..
 
Back
Top Bottom