Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

Mimi niko na ajira ila maisha yangu full soltepu.
Kuanzia kula, kuvaa, bili za kodi umeme maji.
Maisha magumu kinoma na hapa niko permanent and pensionable.
Mwanawane usichomoke hapo, tena kaa tuliiiii. Huku mtaani ni noma mazeee, mambo ya kuanza kujibu maswali ya interview sio kabisa.

Tulizana hapo hicho kidogo wapata chatosha as long as its legally earned.
 
Nimeshabwagwa mkuu mwezi wa pili huu sijapata radha ya mbususu, ni mateso
 

View: https://youtu.be/RYWaQUEDlyU
 
Mimi niko na ajira ila maisha yangu full soltepu.
Kuanzia kula, kuvaa, bili za kodi umeme maji.
Maisha magumu kinoma na hapa niko permanent and pensionable.
mwanawane usichomoke hapo, tena kaa tuliiiii. huku mtaani ni noma mazeee. mambo ya kuanza kujibu maswali ya interview sio kabisa. tulizana hapo hicho kidogo wapata chatosha as long as its legally earned.
Nimeshabwagwa mkuu mwezi wa pili huu sijapata radha ya mbususu, ni mateso
ah mwanawane hilo litegemee tuu hapo mzee utajua kila aina ya punyeto πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
be strong man vumilia kuwa na mkakati wa namna ya kujikwamua hapo ulipo. mademu wa sasa wewe usiwaze kabisa utambulia matusi tuu. hawa jema hawa
 
Miezi miwili tu?
 
Back in days
Hapo nimerudi chuo kwenda kufanya Supplimentary, nilikuwa na kama 500k mfukoni. Nimefika nikapambana nikapata pakulala,, doh , shetani la kamari likanipitia maana nilikuwa Mraibu wa kubet miaka hiyo,, nikaplace bet ya 100k,, inplay, ikaliwa.

Hasira ya kukimbiza hasara nikaweka 250k ikaliwa tena,
Hasira zikapanda huku najipa moyo ntairudisha labda , nikafanikiwa kula jumla nikawa na 130k kwenye Account ya bet.,, Shetani likanimbia weka yote upate zaidi, bwana bwana nikaweka Holaa,, nikaliwaa.
Hasira zikazidi kuwa kali Zaidi nikamalizia kudeposite tena 136k, nikala ikafika 200k, nikaanza kupata amani kwa mbali. Oooh mchezo ule usivyokuwa na baraka na ulivyolaaniwa ikaliwa yoote. Bare in your mind hapo mfukoni imebaki kama 14,000/= na Sup ratiba imekaa vibaya natakiwa nisubir mpk wiki ya tatu.

Nilianza kushindia muhogo mmoja kwa siku, na hapo ndio niliona picha halisi ya njaa, nikagundua pia ukiwa na Njaa haulali.

Wiki ya mwisho nilikaa siku 2 nakumbuka bila kula nakunywa maji na karanga tu.

Nauli ya kurudi nyumbani nilikuwa sina ikabid nikawaombe wale matrafic wa Pale Nane nane Dodoma waniombee lift alooh.

VIJANA KAMARI NI UMASIKINI.
 
Sijawahi kuiamini kamari mpk kesho. Njaa haina baunsa
Pole na hongera kwa kulijua hilo
 
Nilikuwa nikubahatisha kula usiku,natamani asubuhi isifike niwe na shida hiyohiyo!Maisha haya we acha tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…