Tumbili wa mjini
JF-Expert Member
- Nov 2, 2024
- 1,125
- 2,233
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwa kumfundisha mwanao akiwa bado mdogoNikiwa na 24 nilikuwa naendesha, lakini mwanangu ana miaka 12 yuko kidato cha kwanza anaendesha vizuri tu anatupeleka kanisani na kurudi pia shuleni kwa wadogo zake, ila umri wa leseni bado hivyo mjini haendi
Wakishua sioKwa tuliokulia ndani ya geti , maybe 14 -21
Kwa wale bonyokwa maybe 25+
Kiaje blazaUzi wa kishua...
Mhh miaka 6??Miaka 6 kipindi hicho father alikuwa anaendesha gari za wakimbizi aina ya IVECO
Unapokuwa na uwezo wa kununua gari
Muombe shem akufundisheMm nna 30 na sijui kuendesha
Bado huna uwezo?Unapokuwa na uwezo wa kununua gari
Na hautakiwi kujifunza kuendesha mutukaa.Umejua kuendesha binadamu inatosha.Mm nna 30 na sijui kuendesha
Kiaje blaza