Ulijifunza kuendesha gari ukiwa na umri gani?

Ulijifunza kuendesha gari ukiwa na umri gani?

Nikiwa na 24 nilikuwa naendesha, lakini mwanangu ana miaka 12 yuko kidato cha kwanza anaendesha vizuri tu anatupeleka kanisani na kurudi pia shuleni kwa wadogo zake, ila umri wa leseni bado hivyo mjini haendi
Hii kisheria imeakaaje mkuu? Hatuombei mabaya ila kwa nia njema je akipata ajali akiwa anaendesha utaziambiaje Mamlaka?

Mi dogo simruhusu kabisa kuendesha japo anang'ang'ania na ana miaka 13 yupo form 2 sasa.
 
Mapema sana kabla hata ya kufikisha umri wa kuendesha gari na nilijifunza kwa kuendesha gari manual suzuki samurai, dahtsun na landrover 110.
Land rover 110 ilikuwa noma sana. Break fluid ikiisha tunachukua mche wa sabuni tunauweka kwenye maji unakaa halafu tunakoroga rojo na kuweka. Dude linatembea tu kuwaga mpaka lisukumwe.
 
Back
Top Bottom