KInachokusumbuwa ni wivu na hasira yako. Pole kwakuwa unasumbuliwa na umasikini. Jitahidi watoto wako wasije kujuta badaeWewe mwezi hutoboi utakuja kuleta uzi hapa kwa kupoteza mtoto naomba uscreen shot huu uzi,mwezi huu hutoboi
Ulimbukeni hauna umri miaka 50 ulitakiwa kutambua kuwa mtoto wa 2012 hatakiwi kuendesha gari,waliosema leseni miaka 18 sio wajinga,Acha ubishi zingatia ushauri wangu,hiyo sio baiskeliUmri huu naitafuta 50 yrs nikawe limbukeni wa magari. Pole kwakuwa kama wazee wa zamani akienda kazini anaficha mpaka remote ya TV. Punguza hasira na chuki uishi maisha marefu. Kwa ujinga wako unadhani kuna mzazi anapenda kumpoteza mtoto wake?
Mm kuna jamaa alikuwa na fuso fighter mignon... anaenda kula ulaz harud ...nkaingia nkalipua chuma jamaa anaona ipo alipo ndo nkawa ruban from that day..
ππππ mkuu mimi ni kama wewe...nimeamua kwanza niende driving gari litafata π€£Mm nna 30 na sijui kuendesha
mwenyewe nna mpango wa kwenda driving aisee, Unaweza kuokota gari afu ushindwe kusepa naloππππ mkuu mimi ni kama wewe...nimeamua kwanza niende driving gari litafata π€£
Sheria gani bhn Acha woga ....mbona kina yamal wanaendesha magari ulaya hio ni perception yako Tu,Kukua sio swala la umri ni swala la akiliHii kisheria imeakaaje mkuu? Hatuombei mabaya ila kwa nia njema je akipata ajali akiwa anaendesha utaziambiaje Mamlaka?
Mi dogo simruhusu kabisa kuendesha japo anang'ang'ania na ana miaka 13 yupo form 2 sasa.
Jisemee tu humu JF. Apate ajali ndio utajua hujui japo hatuombei hayo mkuu.Sheria gani bhn Acha woga ....mbona kina yamal wanaendesha magari ulaya hio ni perception yako Tu,Kukua sio swala la umri ni swala la akili
Usizuge. Kama huamini watoto wanaanza shule wakiwa na miaka 5 na kumaliza wakiwa na 11 basi We huna ujuacho hapa duniani zaidi ya kuiba maembe na ndizi za watu hapo mjini.Au sio kauze madafu
Ni wewe mkuu. Wenzio wapo la sita wakiwa na miaka 9 hadi 10 mzee.Basi nilichelewa shule kwa umri wa 13 nilikua la sita
Mbona povu unajijua hata chembe mpaka uropoke utumbo hapa? Unajidhalilisha na ni aibu mtu kama wewe kujiita eti una watotoUsizuge. Kama huamini watoto wanaanza shule wakiwa na miaka 5 na kumaliza wakiwa na 11 basi We huna ujuacho hapa duniani zaidi ya kuiba maembe na ndizi za watu hapo mjini.
Leta maandaziNi wewe mkuu. Wenzio wapo la sita wakiwa na miaka 9 hadi 10 mzee.
Alafu nina mtoto mkubwa wa kike anaitwa Gift mna umri sawa na wako. We ningemjua mama yako mapema ningekuwa nimekukojoa. ππMbona povu unajijua hata chembe mpaka uropoke utumbo hapa? Unajidhalilisha na ni aibu mtu kama wewe kujiita eti una watoto
Njoo getoni uone nani mwanaumeAlafu nina mtoto mkubwa wa kike anaitwa Gift mna umri sawa na wako. We ningemjua mama yako mapema ningekuwa nimekukojoa. ππ