Ulijifunza kuendesha gari ukiwa na umri gani?

Ulijifunza kuendesha gari ukiwa na umri gani?

Miaka 13 form two? Sio chai hii
Chai kivipi wakati mwangangu ana miaka 12 yuko form one means mwakani November atafikisha 13 akiwa anaikimbia form two, au unadhani watoto wa sasa wanasoma wakiwa wazee kama enzi zetu, second born wangu ana miaka 7 mwaka huu amengia class 3
 
Nitafutie mshangazi kitaani kwenu
 
Mwenzio Tumbili wa mjini anabisha mtoto wa miaka 13 kuwa form 2. Sasa kama wako wa miaka 12 ni form 1 akiwa form 2 atakuwa na miaka mingapi?

Mwanangu alianza shule akiwa na miaka 5 na sasa anamiaka 13 yupo form 2 ila jamaa yako anabisha na anasema ni chai. 😀😀😃😄
Anadhani watoto wa sasa wanasoma wakiwa wazee kama sisi. Mimi nilianza class one huko kijijini nikiwa na miaka 9 kwakuwa mkono wa kushoto haukuwa unafika sikio la kulia kupitia kichwani, nashukuru Mungu huo ujinga kwasasa haupo
 
Kipindi naenda kufanya interview ya kujiunga form 1, nikiwa nje kwenye foleni gari likaingia linaendeshwa na mtoto na yeye kaja kufanya interview.

Tulimshangaa sana! Tulivyojiunga nikamuuliza lile gari alieneaje akaniambia anaekaga mto kwenye kiti.
 
Nikiwa na 24 nilikuwa naendesha, lakini mwanangu ana miaka 12 yuko kidato cha kwanza anaendesha vizuri tu anatupeleka kanisani na kurudi pia shuleni kwa wadogo zake, ila umri wa leseni bado hivyo mjini haendi
Sass hivi familia zenye magari zimeongezeka sana, zamani mtaani familia zenye gari za kuhesabu, huko mawilani kwetu ndio kabisaaa wilaya nzima ukitoa gari za serikali na mashirika ya dini unabakisha gari chache sana za binafsi. So kwa sasa watoto chance za kujua kuendesha mapema ni kubwa zaidi
 
Kipindi naenda kufanya interview ya kujiunga form 1, nikiwa nje kwenye foleni gari likaingia linaendeshwa na mtoto na yeye kaja kufanya interview.

Tulimshangaa sana! Tulivyojiunga nikamuuliza lile gari alieneaje akaniambia anaekaga mto kwenye kiti.
Leta na maandazi sasa
 
Zaidi ya tumbo la kuhara sijawahi kuendesha.

Ipo siku tu.
 
Kwa muda mrefu nilikua nacheza ma game ya simulator siku ya kwanza kuendesha gari nilipanda tu nikiwa na idea za kwenye magame na kuweka gia na kuondoka bila kuwa na mtu pembeni yangu alafu ilikua ni manual transmission siyo Auto niligonga gia kama kilometa 1 kwa kusuasua baada ya hapo nikajua gari inataka nini nikaanza kupanga gia kama nina uzoefu wa miaka 5+ kwahiyo binafsi sikufundishwa gari na niliweza kuendesha nikiwa na miaka 19
 
Iwas 17yors. Yule mshua alinifundisha vyote hadi mishangazi alinifundisha yeye sijawahi kupata rafki kama yule. Hatukuwa hata na baiskel om!
 
Sass hivi familia zenye magari zimeongezeka sana, zamani mtaani familia zenye gari za kuhesabu, huko mawilani kwetu ndio kabisaaa wilaya nzima ukitoa gari za serikali na mashirika ya dini unabakisha gari chache sana za binafsi. So kwa sasa watoto chance za kujua kuendesha mapema ni kubwa zaidi
Hakika
 
Unaenda kumuua huyo mtoto kwa ulimbukeni ba ushamba,miaka 12 ni mdogo sana kuendesha chombo cha moto,hakika utamuua usipozingatia huu ushauri
Zingatia nilichokujibu, msiba utaingia nyumbani kwako kabla ya nyumbani kwangu. Tunza maneno yangu, utalia msiba kwako kabla nyumbani kwako, na hakika utalia kilio cha mbwa huku ukiwa umetizama juu.
 
Zingatia nilichokujibu, msiba utaingia nyumbani kwako kabla ya nyumbani kwangu. Tunza maneno yangu, utalia msiba kwako kabla nyumbani kwako, na hakika utalia kilio cha mbwa huku ukiwa umetizama juu.
Wewe mwezi hutoboi utakuja kuleta uzi hapa kwa kupoteza mtoto naomba uscreen shot huu uzi,mwezi huu hutoboi
 
Unaenda kumuua huyo mtoto kwa ulimbukeni ba ushamba,miaka 12 ni mdogo sana kuendesha chombo cha moto,hakika utamuua usipozingatia huu ushauri
Umri huu naitafuta 50 yrs nikawe limbukeni wa magari. Pole kwakuwa kama wazee wa zamani akienda kazini anaficha mpaka remote ya TV. Punguza hasira na chuki uishi maisha marefu. Kwa ujinga wako unadhani kuna mzazi anapenda kumpoteza mtoto wake?
 
Back
Top Bottom