Ulijifunza kuendesha gari ukiwa na umri gani?

Wengine tunaenda EURO TRUCK Simulator 2
 
Si naangalia na kichwa chako?

Sasa nikila hela halafu ukawa mzito kuelewa si nitajuta

Mie gari namfundisha mtu siku tatu tu, tofauti na hapo kichwa cha mwanafunzi ni kizito
Siku tatu naweza nikawa nimeelewa maana nina experience kidogo japo sijawah kugusa steling
 
Mimi sikujifunza Ila nilikuwa nafata kanuni tu

Pikipiki na gari nilipewa kanuni gari nazungumzia Gari zetu automatic car.
 
Me na 40+ yangu baada ya kuona dogo ninaemzaa akisukuma chuma manual wakati hata automatic siwezi
 
Wakati najifunza nilijifunzia nikiwa na 23 na magari ya watu mzee wetu alikuwa akikuta ata gari limesogezwa tu nyumba nzima mtatukanwa sana na funguo alikuwa ana ficha so nimejifunzia magari ya watu siku ya kwanza nilitoa bampa la mbele nilikwangua gari la mtu parking tangu hapo sijawai kuharibu tena gari immsiku nyingine niliendesha gar la mtu nikiwa handbrack sijaitoa af watu walinipigia kelele nje uko ila sikusikia nilifunga vioo piga simu sikusikia nikaja kuona baadae nishafika eneo la tukio
 
Nikiwa na 24 nilikuwa naendesha, lakini mwanangu ana miaka 12 yuko kidato cha kwanza anaendesha vizuri tu anatupeleka kanisani na kurudi pia shuleni kwa wadogo zake, ila umri wa leseni bado hivyo mjini haendi
Mwenzio Tumbili wa mjini anabisha mtoto wa miaka 13 kuwa form 2. Sasa kama wako wa miaka 12 ni form 1 akiwa form 2 atakuwa na miaka mingapi?

Mwanangu alianza shule akiwa na miaka 5 na sasa anamiaka 13 yupo form 2 ila jamaa yako anabisha na anasema ni chai. 😀😀😃😄
 
Basi nilichelewa shule kwa umri wa 13 nilikua la sita
 
Back
Top Bottom