Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

Me nafikiri kama kichwani mtu amejaa mawazo hasi na moyoni amejaa sumu kwasababu ya negative experiences alizopata, aachane na mahusiano. Heal yourself. What's the purpose of you being in a relationship?
Ahsanteeeeee.
 
Nimejifunza kuwa yupo mwenye kiti chake atasogezewa kiti atakaa atapungiwa na upepo atapewa kila kitu huku we ambaye siye mwenye kiti kwanza utakuta misumari halafu kimegeuzwa kusiko kisha kigumu kugeuzika na ukifanikiwa kukaa kinakubana halafu kuna manzi na kila aina ya tabu salama yako ni kunyanyuka utoke maana si kiti chako cjui naeleweka 🥴
 
Back
Top Bottom