Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
💯🤝 hit and run mambo yasiwe mengiUkitaka kufurahia maisha usiwe na demu permanent utakuja kunishukuru
No lesson no explaination.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯🤝 hit and run mambo yasiwe mengiUkitaka kufurahia maisha usiwe na demu permanent utakuja kunishukuru
No lesson no explaination.
Mkuu una akili sana, hapo kwenye kuwakunja nakupa 100 alafu kwenye huruma kwa hivi viumbe hautakiwi kabisa.. WaHabari za muda huu, mapenzi hufunza hususani baada ya kuisha.
1. Binafsi nimejifunza kutokurudiana na X ni jambo muhimu sana kwenye ulimwengu wa mapenzi. Akishakuwa X, ni X milele, hakuna tena nafasi ya kurudisha mapenzi. Nitamsamehe makosa yake lakini sitoruhusu kurudiana.
Yeye ni yule yule na hata mkirudiana hatokuwa malaika, ila atakuja na mawazo maovu zaidi ya kukumaliza. Pepo amtokapo mtu, siku akimrudia huja na mapepo maovu zaidi yake.
2. Kuwa na huruma kwa mwanamke ni jambo haramu kwenye ulimwengu wa mapenzi. Hawa viumbe ukiwahurumia wanakuona hamnazo. Unapaswa kutokumhurumia. Akiomba hela leo, hata kama unazo hapo mfukoni usimpe, mpe wiki ijayo.
Akiomba laki mpe elfu 60, kama hataki aandamane. Hawana shukrani wala kumbukumbu ya mema waliyotendewa, hivyo hawastahili kuhurumiwa. Sauti nyororo isikufanye utapeliwe.
Hata kitandani unapompiga miti mkunje kwa nguvu zote hata ukimvunja ni sawa tu, akilalamika anaumia shikilia hapo hapo. Ukimhurumia, kesho utasikia akikuambia huwezi kumkaza vizuri.
3. Shobo na wanawake wengi: Nikikutana na mrembo njiani hata kama anang'aa kama nyanya, kama sikupanga kuongea naye siku hiyo hata salamu yangu hapati! Kwenye usafiri wa umma anayepaswa kumsalimia mwenzake ni aliyemkuta. Mrembo akiingia asiponisalimia siwezi kumsalimia eti kwa sababu ni mrembo.
Yote kwa yote, kosa kubwa kuliko yote nililoapa kutolifanya tena ni kurudiana na X.
Ulijifunza nini kupitia mapenzi/penzi lililopita?
I learned but I chose not to tellSo you mean you didn't even learn a single positive lesson in your r/ ships?
Washauri watafute pesa kelele na machungu vitaisha.Watu mna machunguuu!! Poleni sana.
Unasemaje wewe?? penzi linavonogaga vile? usirudi kwa sababu gani?? kuna watu wanajua kukunwa na kukuna, ikatokea bahati mbaya! (hizo haiepukiki) tukaachana ajili ya mchawi mmoja tu!kutokurudiana na X ni jambo muhimu sana kwenye ulimwengu wa mapenzi. Akishakuwa X, ni X milele, hakuna tena nafasi ya kurudisha mapenzi
[emoji23][emoji23][emoji23]kama kawaida yako mdada mwenye mistress kichwani we Sijui post gani uliichangia positive na essay zako ndefu zilizo nonsense..Unasemaje wewe?? penzi linavonogaga vile? usirudi kwa sababu gani?? kuna watu wanajua kukunwa na kukuna, ikatokea bahati mbaya! (hizo haiepukiki) tukaachana ajili ya mchawi mmoja tu!
asa kwa nini nisirudi hata kwa uchawi! kuna watu wana papuchi/shedede hata ukilala hivi utaliota maisha yako yooote kwa nini nisirudi????? ukijishebedua saaana nakuua! kivyo!! vyote vile!
Usichezee mapenzi wewe mtoto! km unaona bado umri! acha usije kujaribu!...unamkuna mtu eti unasema hapa napita tu! weeee!!.......tena mbaya zaidi unampunga, Akili, kazi, doooooo!
hata umuachie ke/me majumba nusu yake! asee huko hutakuwa salama njia ni kurudi kwa magoti hapa hutaki nife mimi au ufe wewe! au wote! km ke anaua mwanae! wewe nani umtese?
ukiona me/ke umeachwa salama tu......tambua ni kwa kuwa huna nyota ya mafanikio!! kuna manaume/ke yana nyota za mafanikio karibu zooote humu Duniani hawa ndo hawaachagwi na ke!....chunguza uone
Nachekaga comments zake, unasoma hadi kichwa kinauma.[emoji23][emoji23][emoji23]kama kawaida yako mdada mwenye mistress kichwani we Sijui post gani uliichangia positive na essay zako ndefu zilizo nonsense..
Anakipaji cha kuandika nonsenseNachekaga comments zake, unasoma hadi kichwa kinauma.
Basi ukiona ivo una kimavi mavipost gani uliichangia positive na essay zako ndefu zilizo nonsense..
Inategemea kwa x ni kipi kiliwafanya muachane. Inaweza kuwa wewe ndo ulikuwa tatizoHabari za muda huu, mapenzi hufunza hususani baada ya kuisha.
1. Binafsi nimejifunza kutokurudiana na X ni jambo muhimu sana kwenye ulimwengu wa mapenzi. Akishakuwa X, ni X milele, hakuna tena nafasi ya kurudisha mapenzi. Nitamsamehe makosa yake lakini sitoruhusu kurudiana.
Yeye ni yule yule na hata mkirudiana hatokuwa malaika, ila atakuja na mawazo maovu zaidi ya kukumaliza. Pepo amtokapo mtu, siku akimrudia huja na mapepo maovu zaidi yake.
2. Kuwa na huruma kwa mwanamke ni jambo haramu kwenye ulimwengu wa mapenzi. Hawa viumbe ukiwahurumia wanakuona hamnazo. Unapaswa kutokumhurumia. Akiomba hela leo, hata kama unazo hapo mfukoni usimpe, mpe wiki ijayo.
Akiomba laki mpe elfu 60, kama hataki aandamane. Hawana shukrani wala kumbukumbu ya mema waliyotendewa, hivyo hawastahili kuhurumiwa. Sauti nyororo isikufanye utapeliwe.
Hata kitandani unapompiga miti mkunje kwa nguvu zote hata ukimvunja ni sawa tu, akilalamika anaumia shikilia hapo hapo. Ukimhurumia, kesho utasikia akikuambia huwezi kumkaza vizuri.
3. Shobo na wanawake wengi: Nikikutana na mrembo njiani hata kama anang'aa kama nyanya, kama sikupanga kuongea naye siku hiyo hata salamu yangu hapati! Kwenye usafiri wa umma anayepaswa kumsalimia mwenzake ni aliyemkuta. Mrembo akiingia asiponisalimia siwezi kumsalimia eti kwa sababu ni mrembo.
Yote kwa yote, kosa kubwa kuliko yote nililoapa kutolifanya tena ni kurudiana na X.
Ulijifunza nini kupitia mapenzi/penzi lililopita?
Haya maisha watu wana shida mkuu. Nimekuja kugundua natakiwa kwa mwaka hata mara mbili niende nikaangaliwe akili yangu kama iko sawa. Sijui ni ugumu wa maisha...Anakipaji cha kuandika nonsense
Eti kasema sauti ndogo 📢Unasemaje wewe?? penzi linavonogaga vile? usirudi kwa sababu gani?? kuna watu wanajua kukunwa na kukuna, ikatokea bahati mbaya! (hizo haiepukiki) tukaachana ajili ya mchawi mmoja tu!
asa kwa nini nisirudi hata kwa uchawi! kuna watu wana papuchi/shedede hata ukilala hivi utaliota maisha yako yooote kwa nini nisirudi????? ukijishebedua saaana nakuua! kivyo!! vyote vile!
Usichezee mapenzi wewe mtoto! km unaona bado umri! acha usije kujaribu!...unamkuna mtu eti unasema hapa napita tu! weeee!!.......tena mbaya zaidi unampunga, Akili, kazi, doooooo!
hata umuachie ke/me majumba nusu yake! asee huko hutakuwa salama njia ni kurudi kwa magoti hapa hutaki nife mimi au ufe wewe! au wote! km ke anaua mwanae! wewe nani umtese?
ukiona me/ke umeachwa salama tu......tambua ni kwa kuwa huna nyota ya mafanikio!! kuna manaume/ke yana nyota za mafanikio karibu zooote humu Duniani hawa ndo hawaachagwi na ke!....chunguza uone
Ukiona hivo basi ni jua wazi kuwa umenikubali kishenzi, mpaka umesahau mwenye uzi! nina mvuto wa akili za pekee! namdada mwenye mistress kichwani we Sijui post gani uliichangia positive na essay zako ndefu zilizo nonsense..
Kwakweli ni jambo muhimu sana maana madhara yake naona baadhi yanawahi kuwapata.Haya maisha watu wana shida mkuu. Nimekuja kugundua natakiwa kwa mwaka hata mara mbili niende nikaangaliwe akili yangu kama iko sawa. Sijui ni ugumu wa maisha...
halafu ukijijua akili kubwa raha sanaEti kasema sauti ndogo 📢