Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

Jana:

Click click Simu inaita namba ngeni napokea

Mimi: hallo

Ex: hello habari

Mimi: salama (nikawa navuta picha hii sauti ya nani sauti ya kike)

Ex: unanikumbuka?

Mimi: hapana namba ngeni ila hii sauti ngeni masikioni

Ex: mimi ni @&#"- nilikupigia kwenye ile namba ya Airtel ukawa hupatikan

Mimi: ooho sawa (nikavuta picha huyu mtu ni mwaka umekata leo kanitafuta anataka nini huyu?)

Ex: kuna ile document uliacha pale ofisini kipindi kile kuna mtu anataka kwenda kuifuatilia

Mimi: sawa we muambie tu akienda pale reception awaelekeze watampatia (nikajiuliza huyu yaan kanitafuta kwa ajili ya document tu basi huu ni uongo)

Ex: sawa nitamuelekeza...

Nikakata simu, mambo yasiwe mengi

Nikampotezea, "once a ex, always a ex", huwa hawana jema sirudiagi matapishi 🤮.
 
Me nafikiri kama kichwani mtu amejaa mawazo hasi na moyoni amejaa sumu kwasababu ya negative experiences alizopata, aachane na mahusiano. Heal yourself. What's the purpose of you being in a relationship?
Mangwair kwenye ngoma ya mikasi anasema,
"Asiye na kitu me naona bora akabaki, tusije mbele tukashikana mashati"
 
Jana:

Click click Simu inaita namba ngeni napokea

Mimi: hallo

Ex: hello habari

Mimi: salama (nikawa navuta picha hii sauti ya nani sauti ya kike)

Ex: unanikumbuka?

Mimi: hapana namba ngeni ila hii sauti ngeni masikioni

Ex: mimi ni @&#"- nilikupigia kwenye ile namba ya Airtel ukawa hupatikan

Mimi: ooho sawa (nikavuta picha huyu mtu ni mwaka umekata leo kanitafuta anataka nini huyu?)

Ex: kuna ile document uliacha pale ofisini kipindi kile kuna mtu anataka kwenda kuifuatilia

Mimi: sawa we muambie tu akienda pale reception awaelekeze watampatia (nikajiuliza huyu yaan kanitafuta kwa ajili ya document tu basi huu ni uongo)

Ex: sawa nitamuelekeza...

Nikakata simu, mambo yasiwe mengi

Nikampotezea, "once a ex, always a ex", huwa hawana jema sirudiagi matapishi 🤮.
Good job
 
🤣🤣🤣🤣🥱🥱"""Akiomba laki mpe elfu 60, kama hataki aandamane. Hawana shukrani wala kumbukumbu ya mema waliyotendewa, hivyo hawastahili kuhurumiwa. Sauti nyororo isikufanye utapeliwe,""" kama hataki aandamane 📌🔨🔨🔨📢📢📢📢📢
 
Tunalifanyia kazi hilo la kuludiana na ma x wetu.
 
Back
Top Bottom