Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

wanasema usikague/kufuatilia mawasiliano ya mtu ambaye uko naye..sometimes inatubidi tufanye hivyo kutokana na sababu mbalimbali .

Kuna binti wa hovyo sana yaan fvcken kabisa(mods amuwekee middle fing..) ex shemeji na wifi Yao kwa niaba yangu.

Bibi enu niliyetakiwa kumvisha Pete kwa surprise alianza kunionyesha manyoka ya kutosha sijui sababu tuko mbali kwa Sasa ikabidi nifuatilie mawasiliano yake na njia ya Whatsapp nilishindwa ikabidi nidukue Instagram yake [emoji119]...Ile kitu niliona si ya mchezo,ningekuja kusingiziwa mimba sijui ndio ningempa kwa infrared au Bluetooth au Skype na hatuko Karibu

Alikuwa na plan Dec hii aende vacation Arusha na mpenzi wake walikoutana kwenye mitandao ya kijamii

Sikujua wifi enu Yuko escort sites akitafuta vijibaba vya kiarabu na vizungu lakini insta DM ikanifumbua

Natuma vijisenti vyangu kwa ajili ya kusupport Kodi kumbe kahamia sehemu nyingine anakaa tabata na kimwamba chenye virasta kama marioo


Temporary reply.
Pole Sana kiongozi ......
 
Hapa tunazungumzia EX mwanamke au hata wanaume?nijuavyo mimi awe wa kike au wa kiume wote ni sawa tu,kumbuka tabia huwa haina dawa,ingawa one in a million anaweza kuwa kajifunza kitu baada ya kuachana,ila karibu wote huwa wanabakia kuwa vile walivyo,muhimu ni kumtanguliza Mungu kabla ya kutafuta wenza wetu,ila kwa kukurupuka tu kwa kuangalia pesa,umbo au sura lazima utapigwa na kitu kizito...
 
Mwanamke yeyote wa kisasa (namaanisha mwanamke anaeshindana na dunia) ana tamaa tena tamaa mbaya. Na siku zote tamaa mbaya huzaa Ubinafsi

Ubinafsi ni kujijali mwenyewe na kutokujali hisia za wengine, Mtu asiejali hisia za mwingine ni adui... Wengi tunaingia kwenye mahusiano na maadui na kujikuta tunawapa nafasi katika mioyo, akili na hata mwili, tufanyapo hivyo

Kwisha Habari.
 
Mwanamke yeyote wa kisasa (namaanisha mwanamke anaeshindana na dunia) ana tamaa tena tamaa mbaya. Na siku zote tamaa mbaya huzaa Ubinafsi

Ubinafsi ni kujijali mwenyewe na kutokujali hisia za wengine, Mtu asiejali hisia za mwingine ni adui... Wengi tunaingia kwenye mahusiano na maadui na uiwapa nafasi ya kuwapa mioyo, akili na hata mwili, tufanyapo hivyo

Kwisha Habari.
Absolutely,ceteris Paribas
 
Lessons I got:

Trust your instincts. If your heart signals NOPE about someone just run hata kama huja pinpoint shida ni nini hasa.

I'm a better judge of character.

Consistency. If they are not consistent they're not genuine. Run.

Completely true..Run
 
Back
Top Bottom