Ulijipata kimaisha ukiwa na miaka mingapi?

Mkereketwa wa NAZI naomba uje utupe darasa kuhusu hatua za kufikisha malengo na vitu vya kuepuka katikati huu umri 20-30
 
Mkuu we jua tu hivo hayo mengine ni Siri ya kambi
Njia zipi ulipita tupe experience au kuna namna watangulizi wako walikuwa financially stable ukatengenezewa njia tangu upo mdogo wakakukabidhi ulivyojitambua.

Hebu tupe uzoefu mkuu share nasie tuone wapi tulikwam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…