P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
- Thread starter
- #61
ukarithishwa kila kitu hapohaponilijipata nikiwa na siku 1.
Mali za kurithi 😭😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukarithishwa kila kitu hapohaponilijipata nikiwa na siku 1.
Mali za kurithi 😭😭😭
Nilijipata nikiwa na 22,nikalost nikiwa 32,sahivi nipo 37 bado sijarudi kwenye game,nimebaki na nyumba,pikipiki na mtoto mmoja.Mapambano yanaendelea till end of timewakuu kama mnavyoona zimebaki siku mbili tu kuumaliza mwaka 2024 na kuanza mwaka mwingine 2025,
watu wengi hua wanajiwekea malengo mbalimbali wakiamini mwaka mpya unavyoanza ni rahisi zaidi kuanza mambo mapya au kubadikisha lifestyle ya zamani na kuanza mpya. inaonekana ni rahisi kuliko kuanzia katitati ya mwaka.
lengo hapa ni kupeana experience,
Kuna watu wana malengo au vitu wanavyopanga kuvifikia baada ya mwaka au miaka kadhaa ijayo kuanzia sasa,
Mfano, kufungua biashara ya ukubwa fulani, kujenga nyumba au kumiliki ndinga ya ndoto yako,
Sasa pia kuna watu hizo stage walishazipitia miaka iliyopita na sasa wapo kwenye level nyingine, wamejipata ( kila mtu ana mtizamo wake kuhusu level ambayo atasema amejipata )
Je ulijipata ukiwa na miaka mingapi ?
uliajiriwa au ulifanya mishe kama biashara, kilimo, ufundi n.k ?
ilikua bahati au uliweka plan na mikakati ya kutosha na je uli wahi kufeli mara ngapi ?
Kabla ya kujipata maisha yalikuaje na je uliamini utafikia hapo ulipo ndani ya muda huo ulioutumia kufika ?
Uliwahi kuwa kwenye addiction zinazo kupotezea hela mfano pombe na starehe nyingine wakati bado hujajipata ?
Lengo ni ku share experience na mindset kwa wote wanaojitafuta na ambao wana mipango na melego fulani wanayotamani kuyafikia, kwakua tumetofautiana level ni wazi kua kuna wengi wameshafikia hapo ambapo mwingie bado anapafikiria namna ya kufika.
dakika ya 22' ulikia unaongoza 2 - 0 mara paap dakika ya 32' 2 - 1Nilijipata nikiwa na 22,nikalost nikiwa 32,sahivi nipo 37 bado sijarudi kwenye game,nimebaki na nyumba,pikipiki na mtoto mmoja.Mapambano yanaendelea till end of time
Eeh kaka nikarithishwa mizimu hapo hapo..ukarithishwa kila kitu hapohapo
Noma sanadakika ya 22' ulikia unaongoza 2 - 0 mara paap dakika ya 32' 2 - 1
dakika ya 37' bado tupo katika kipindi cha kwanza cha mchezo
Sponsored
😂😂😂😅hapana mbali sana huko hapo toa 10+bila shaka sasa hivi una miaka 44
Tumalize kwanza mwaka tukianza mpya sigusi kabisa😁
Njia zipi ulipita tupe experience au kuna namna watangulizi wako walikuwa financially stable ukatengenezewa njia tangu upo mdogo wakakukabidhi ulivyojitambua.
Hebu tupe uzoefu mkuu share nasie tuone wapi tulikwama.