Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦‍♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Inategemea lakini mara nyingi ni rahisi kwa mwanamke kuwa na zaidi ya mmoja, labda uwe hupendi TU au uwe huna shida za pesa za reja reja
 
Basi huna akili finyu ...msichana anatakiwa kuwa na wapenzi wa 4 kwa wakati mmoja mvulana wapenzi wa2
 
Nilipigiwa simu saa 8 usiku namba mpya kabla sijasema hallo nashangaa natukanwa matusi na wadada 3 kwa pamoja. Matusi ya nguoni kabisa nilidhalilishwa mno ikabidi nitulie kimya walivyochoka kutukana wakakata.

Kesho yake ndio nikapiga ile namba nikamuuliza kwa upole kwa nn ulinitukana jana na wakati hatujuani?? Ndio akanielekeza ukweli yeye ni "afisa utamu" alizinguana na bebe wangu katika mauziano akampokonya simu kukagua akakuta namba yangu ndio kualika wenzake wamalizie hasira zao kwangu.
Yule afisa akaniomba msamaha sana. Alikuwa ni mtu ambaye sio kudhani anacheat tuu bali sikuwahi kuwaza ni muumini wa kununua maafisa utamu.
 
Huyo ndio mzuri, bora wanaonunua kuliko kuwa na mahusiano mengi.
 
We tafuna timka, papuchi haina urafiki na mboro ila ni majirani wema tu.
So popote ukiikuta gonga kwanza mashine halafu ndo uulize habari za leo.
 
Inategemea lakini mara nyingi ni rahisi kwa mwanamke kuwa na zaidi ya mmoja, labda uwe hupendi TU au uwe huna shida za pesa za reja reja
Binafsi sipendi tuu ama labda kunyoosha maelezo siwezi kuwa na wawili kwa wakati mmoja
 
Siwezi kukaa kwenye mahusiano na wewe nisikudukue...

Nilikuja kugundua mwanamke ni ngumu kutulia na mwanamme mmoja.
Sio wanawake wote mkuu, wengine ni ngumu sana kuwa na mwanaume zaidi ya mmoja
 
Hawajui kukataaa direct...
  • Wanapokea Hela kutoka kwa wanaume..
  • Wanakuwa na ujaribu na wanaume wengi hata Kama wanajua kuwa hao wanaume wanawataka..
  • Katika 100 labda wa3 au wa4 ndio wanaweza kutulia na mwanaume mmoja.
 
Back
Top Bottom