mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
tuna miaka 6 lakini sijawahi kujua kuwa ana simu ndogo.nimekuja kumfuma bila yeye kujua namuuliza una simu ngapi akamjibu 1 una laini ngapi akasema mbili.nikamwambia mbona nimekusikia ukichat Kwa simu ndogo Mimi nilikuwa dirishani.majibu yake naona anazunguka zunguka tu.nikampotezea ila lipo kichwani.Unapita mulemule mzebaba, mtu hana kazi ila ana simu kubwa na ndogo.
Mkikutana anakua na simu ndogo, kubwa kaacha home ati haina chaji 😂😂.
Kaa chonjo.
Kuna timing namlia hapa bado hajajaa ila akijaa tu atajua hajui.