Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Alikuwa mtu wa kimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka.

siku chache za mwanzo nilikuwa navaa kinga lakini sikuona natosheka, tulivyopima na kuona majibu yapo nega nikaanza kupiga peku.

Sikuwa na tabia ya kupekua simu yake, ambayo ilikuwa na pattern ya kufungua ila kadri tulivyoendelea kujuana kuna siku nilimuona akichora pattern, nikaikrem kichwani, ingawa sikuwa na mpango wa kuitumia.

Lakini siku moja, hamu ya kujua kilichoendelea ikanishinda, nikaifungua, hapo mahusiano yalikuwa na miezi michache.

Nilijituliza. Nikapakua app ya kunyonya meseji zote, nikahamisha kwangu. Baadae nilikaa nikatulia nikaanza kuzisoma, nikaanza kusechi mb*, ku*, $-x, tom*, style, n.k.

Katika chats zile za mwaka na miezi miwili, tulikuwa watu tisa tumeshare mzigo ! Na kati ya hao, watatu tulikuwa wa karibu naye mno. Uwezo wake wa kupanga ratiba na kudanganya ulinitisha.

Nilimtimua !! yule niliyemwona kama malaika, kumbe alikuwa mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.

Kitu kilichokuwa kinanitisha ni HIV baada ya kugundua tunashare wengi, nilipata stress nyingi sana, presha ilishuka baada ya miezi mitatu majibu yalipoonesha nipo safe.

Kuna jamaa alikuwa ameingia deep sana Ilinibidi nimjulishe mwanamke hafai hata kidogo.
Hivi huwa mnatumia mbinu gani hadi mnaweza kuwa seroius na mahusiano kiasi hiki?

Yani ni mibususu tuu ndio inawaweka busy hivi?
 
Wanawake duh😂
 
Screenshot_20250817_080956_Lite.jpg
 
Mi sijui ila usiingie kwenye mahusiano na mwanamke wa Kipare
Kuna mpare nlidate nae mwaka jana, ndani ya mwezi mmoja nkagundua ametuchanganya washikaji watatu tena marafiki. Baada ya mwezi tukaskia kagonganisha jamaa wengine wawili mapolisi. Yule demu alikuwa had anajitongozesha. Sina ham nao asee🙌
 
Hiyo ni tabia ya kuzaliwa nayo ya wapare ?
 
Back
Top Bottom