ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,143
- 17,639
Kumtoa bikra sio kielelezo kwamba hatatamani mashine za nje. Kuna curiosityKwani ulimkuta bikira?
Kama sivyo kuna mwamba alimpekesua 🤣 before
Kumtoa bikra sio kielelezo kwamba hatatamani mashine za nje. Kuna curiosityKwani ulimkuta bikira?
Kama sivyo kuna mwamba alimpekesua 🤣 before
Niko makini sanaWengi wao warahisi wana ukimwi! Kapime baada ya miezi mitatu uanze njugu
Kuwa na mtu usiyeridhika nae ama kupendezwa nae ndio chanzo Cha ku cheat hela inasingiziwa tu (not really my type)Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.
Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
JidanganyeNiko makini sana
Kuna wanawake huwa hawaamini hii na anaweza kutumia hii kama sababu ya kuanza kusaliti. Unamwambia mimi sinaga mahusiano ya hovyo ya kuchanganya wanawake nikiwa na wewe ni wewe tu utasikia anaguna " mmmmmmmmmn,nyie wanaume wa sasa nyie mmmmmmmmmn " imagine mzee.Endelea hivyo mkuu, ni suala zuri sana, sio tu sifa ila ni kwamba unajali utu wako zaidi.
Kitambo hikoo nilishawah kuwa namueleza ex wife kwamba "najiheshimu primarily kwasababu yangu mimi zaidi, sio kwasababu yako au kwamba nakuogopa hapana, ila katika kijiheshim kwangu na wewe unapata faida"
Kwa kweli nina wote ila sehemu nazofanyia kazi hata nikihama sehemu moja kwenda nyingine, rafiki hasa huwa wa kiume kuliko wa kike. Na ni urafiki wa kawaida tu....haijawahi tokea tukawa na mahusiano. Ndiyo maana nina dislike sababu siyo kweli wakati wote ipo hivyo. Usiweke kitu negative kichwani kitakutesa ushindwe kumuamini mkeo au mpenzi wako kumbe ni mawazo yako tuAkca Usidislike toa maoni?
Na wewe una marafiki wa kiume pekee?
Kwahiyo nawe umeambukizwa ukimwi tayari. Pole sanaAti bed to bed midfielder 🤣🤣🤣🤣
Sasa hao ndio wale midfielder wenyewe yaani anapiga miguu yote mwanawane, mboroooo control ya hali ya juu na touch yake ya kwanza lazima mborooo itulie tuliiii.
Vijana kama hamtaki kufa na ukimwi na ni waoga wa ngoma tafadhalini sana sana sana tena sanaaa, kuleni dada poa. Hao magelofrend na wake zenu wanaliwa kama karanga za kuonjeshwa. Huku ukimwi kama wote. Mwenze u shuhuda hapa kilishanilamba kisa kuendekeza ujinga wa gelofrend
Kabisa mkuuKuna wanawake huwa hawaamini hii na anaweza kutumia hii kama sababu ya kuanza kusaliti. Unamwambia mimi sinaga mahusiano ya hovyo ya kuchanganya wanawake nikiwa na wewe ni wewe tu utasikia anaguna " mmmmmmmmmn,nyie wanaume wa sasa nyie mmmmmmmmmn " imagine mzee.
Kwa expirience yangu hapa duniani hayo ndiyo niliyoyaona.Kwa kweli nina wote ila sehemu nazofanyia kazi hata nikihama sehemu moja kwenda nyingine, rafiki hasa huwa wa kiume kuliko wa kike. Na ni urafiki wa kawaida tu....haijawahi tokea tukawa na mahusiano. Ndiyo maana nina dislike sababu siyo kweli wakati wote ipo hivyo. Usiweke kitu negative kichwani kitakutesa ushindwe kumuamini mkeo au mpenzi wako kumbe ni mawazo yako tu
Sasa pole ya nini wakati to every actions there is equal and opposite reaction. Sikulazimishwa kuwa best bed to bed midfielder, muhimu nafurahi nimeshenyenta mbususu kweli kweli. Ukimwi ni moya ya sababu ya kifo.Kwahiyo nawe umeambukizwa ukimwi tayari. Pole sana
Ni sawa ila vyote vinawezekana.Kwa expirience yangu hapa duniani hayo ndiyo niliyoyaona.
Sasa sio issue ya imani, ni shuhuda.
Hongera mkuu.Sasa pole ya nini wakati to every actions there is equal and opposite reaction. Sikulazimishwa kuwa best bed to bed midfielder, muhimu nafurahi nimeshenyenta mbususu kweli kweli. Ukimwi ni moya ya sababu ya kifo.
Tusitegeane mwanawane she yanta mbususu kijana
Apostle nini kilitokea 😊Mi sijui ila usiingie kwenye mahusiano na mwanamke wa Kipare
Mfuatilie manzi ambaye una mipango nae ya muda mrefu ili ukimuoa usije ukajutiaMnamuda wa kufuatiliana.
Wengi wao warahisi wana ukimwi! Kapime baada ya miezi mitatu uanze njugu
😂😂😂 Hii imenikumbusha binti fulani wa Chuo cha Mipango Dodoma! Nilikuwa namuona malaika! Ila alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kupanga ratiba za sisi tunaomla, tulikuwa kama njemba 5 hivi, na wote tulikuwa tunaridhika bila shida! Aiseeee..!!! Ukimuhitaji anytime anakuja....hahaha! Mpaka leo wanawake siwaamini kabisa. Nilikaacha kwa amani tu japokama nilikapenda mno, na nilipata shida sana kukubaliana na ile haliAlikuwa mtu wa kimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka.
siku chache za mwanzo nilikuwa navaa kinga lakini sikuona natosheka, tulivyopima na kuona majibu yapo nega nikaanza kupiga peku.
Sikuwa na tabia ya kupekua simu yake, ambayo ilikuwa na pattern ya kufungua ila kadri tulivyoendelea kujuana kuna siku nilimuona akichora pattern, nikaikrem kichwani, ingawa sikuwa na mpango wa kuitumia.
Lakini siku moja, hamu ya kujua kilichoendelea ikanishinda, nikaifungua, hapo mahusiano yalikuwa na miezi michache.
Nilijituliza. Nikapakua app ya kunyonya meseji zote, nikahamisha kwangu. Baadae nilikaa nikatulia nikaanza kuzisoma, nikaanza kusechi mb*, ku*, $-x, tom*, style, n.k.
Katika chats zile za mwaka na miezi miwili, tulikuwa watu tisa tumeshare mzigo ! Na kati ya hao, watatu tulikuwa wa karibu naye mno. Uwezo wake wa kupanga ratiba na kudanganya ulinitisha.
Nilimtimua !! yule niliyemwona kama malaika, kumbe alikuwa mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.
Kitu kilichokuwa kinanitisha ni HIV baada ya kugundua tunashare wengi, nilipata stress nyingi sana, presha ilishuka baada ya miezi mitatu majibu yalipoonesha nipo safe.
Kuna jamaa alikuwa ameingia deep sana Ilinibidi nimjulishe mwanamke hafai hata kidogo.