Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Hii ni moja kati ya verse zenu za uongo.

Huna tofauti na wenzako wasemao "ooo mimi Nina marafiki wengi wa kiume, marafiki wa kike ni wabinafsi na wambea"
Wenye hako kamsemo ka marafiki wengi wa kiume huwa wanashenyentwa mbaya mbovu 😂😂.

Demu anaesema hana marafiki muogope sana.
 
Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.

Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
Kuna kiumbe kisichikuwa na tamaa ya pesa? Kama kipo kipo mwezini
 
Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.

Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
Hivyo ni visababu vyenu ili kujastify uhuni wenu.

Kuwa na wapenzi wengi hakuna sababu ya kukosa mpenzi mwenye Hela au kuwa na mpenzi usiyempenda Bali ni hulka ya umalaya wenu.

Hapo kwenye simu Yako una backup za kutosha, tiyari unajua nani anafuata baada ya uliyenaye.
 
Nina mmoja na mmoja wa pembeni...

Ngumu sana kukaa na mke tu hapo, kwa namna ambavyo maisha yapo.

Nakumbuka ex wangu aliwahi niambia(baada ya kuachana), alitupanga watatu kipindi na-date nae, sababu kubwa ni hakutaka heartache kwa sababu mpenzi mmoja anaweza muumiza. I was surprised, the way nilikuwa nazama uvinza...maniner!!
 
Alikuwa mtu wa kimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka.

siku chache za mwanzo nilikuwa navaa kinga lakini sikuona natosheka, tulivyopima na kuona majibu yapo nega nikaanza kupiga peku.

Sikuwa na tabia ya kupekua simu yake, ambayo ilikuwa na pattern ya kufungua ila kadri tulivyoendelea kujuana kuna siku nilimuona akichora pattern, nikaikrem kichwani, ingawa sikuwa na mpango wa kuitumia.

Lakini siku moja, hamu ya kujua kilichoendelea ikanishinda, nikaifungua, hapo mahusiano yalikuwa na miezi michache.

Nilijituliza. Nikapakua app ya kunyonya meseji zote, nikahamisha kwangu. Baadae nilikaa nikatulia nikaanza kuzisoma, nikaanza kusechi mb*, ku*, $-x, tom*, style, n.k.

Katika chats zile za mwaka na miezi miwili, tulikuwa watu tisa tumeshare mzigo ! Na kati ya hao, watatu tulikuwa wa karibu naye mno. Uwezo wake wa kupanga ratiba na kudanganya ulinitisha.

Nilimtimua !! yule niliyemwona kama malaika, kumbe alikuwa mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.

Kitu kilichokuwa kinanitisha ni HIV baada ya kugundua tunashare wengi, nilipata stress nyingi sana, presha ilishuka baada ya miezi mitatu majibu yalipoonesha nipo safe.

Kuna jamaa alikuwa ameingia deep sana Ilinibidi nimjulishe mwanamke hafai hata kidogo.
Mkuu huyu anafanana na yule aliye olewa kule USA RIVER anaanza na herufi A" , jama anaona kapata kumbe manzi anaigawa ile mbaya
 
Nina mmoja na mmoja wa pembeni...

Ngumu sana kukaa na mke tu hapo, kwa namna ambavyo maisha yapo.

Nakumbuka ex wangu aliwahi niambia(baada ya kuachana), alitupanga watatu kipindi na-date nae, sababu kubwa ni hakutaka heartache kwa sababu mpenzi mmoja anaweza muumiza. I was surprised, the way nilikuwa nazama uvinza...maniner!!
MImi ex alinikatalia( nilitaka nijaribu sijawahi zama)
Baadae nakuja kugundua tuko njemba tatu. Ambao tunapiga mzigo.
 
Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦‍♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Siku ukiumizwa mpaka roho ikaribie kutoka hakika utaweza.

Nb. Jambo ambalo huliwezi utotoni utaliweza ukubwani
 
Nina mmoja na mmoja wa pembeni...

Ngumu sana kukaa na mke tu hapo, kwa namna ambavyo maisha yapo.

Nakumbuka ex wangu aliwahi niambia(baada ya kuachana), alitupanga watatu kipindi na-date nae, sababu kubwa ni hakutaka heartache kwa sababu mpenzi mmoja anaweza muumiza. I was surprised, the way nilikuwa nazama uvinza...maniner!!
Ulikua unabugia shahawa za wanaume wenzako hakika kama mwenda wazimu
 
Mmekutana ukubwani,

Sio bikira,

Alishawahi danganya mpaka wazazi wake, kisa kwenda tuu kuililia

Kwanin uumie na kuteseka moyo,

Nileteeni Heineken 4 safii za barrriidi na shoti plus mududu best wa Poor Brain mla kitimoto poor brain
Jamaa tafadhali acha kunisambazia mimi sifa mbaya jukwaani..
.kila comment unasema nimi nakula nguruwe..
.hivi leo kesho ameingia shangazi angu upande wa baba akiskia unazani mimi nitawambia nini...

Ungekua hata unaweka na emoj ya kucheka wajue ni utani ila ww unaweka kavu mkuu mimi staki huo ukafiri nawezaje kula kitimoto kiumbe kafiri mimi au unajua mimi nimelaaniwa
 
Mimi yangu mazito,haloooooo!!!!Wale wanaoumizana mpaka kuuwana unaweza ukawaona vipi kafikia huku,ila ni mambo yanahitaji moyo na utulivu uliopevuka sana
 
Hivyo ni visababu vyenu ili kujastify uhuni wenu.

Kuwa na wapenzi wengi hakuna sababu ya kukosa mpenzi mwenye Hela au kuwa na mpenzi usiyempenda Bali ni hulka ya umalaya wenu.

Hapo kwenye simu Yako una backup za kutosha, tiyari unajua nani anafuata baada ya uliyenaye.
Acha ubishi wewe. Kwani umeshawahi kuwa mwanamke hadi unibishie?
 
Back
Top Bottom