Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Aione Half americanUsipuuze hii dua waombee pia kizazi chako dua hiyo
Aione Half americanUsipuuze hii dua waombee pia kizazi chako dua hiyo
Unafuahia maanguko ya watu eenh!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanawake wenzako wakubaliane na wewe, ila mimi mwanamme siwezi kubali hizo sababu zako.Acha ubishi wewe. Kwani umeshawahi kuwa mwanamke hadi unibishie?
🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio upunguze mahangaiko.Unafuahia maanguko ya watu eenh!!
Haya usinifokee basi niambie taratibu.Wanawake wenzako wakubaliane na wewe, ila mimi mwanamme siwezi kubali hizo sababu zako.
Usijar atakupa kile roho inapenda, kikubwa uwe above 35 yrs.😂😂huyo kijana siyo mtu mzuri
NbbnAlikuwa mtu wa kimya, mtiifu. nilidhani kwa dhati kuwa nimempata wangu wa ubani. Nilikuwa nimejipanga kabisa awe mama wa watoto wangu. Hata siku moja sikuwahi kumtilia shaka.
siku chache za mwanzo nilikuwa navaa kinga lakini sikuona natosheka, tulivyopima na kuona majibu yapo nega nikaanza kupiga peku.
Sikuwa na tabia ya kupekua simu yake, ambayo ilikuwa na pattern ya kufungua ila kadri tulivyoendelea kujuana kuna siku nilimuona akichora pattern, nikaikrem kichwani, ingawa sikuwa na mpango wa kuitumia.
Lakini siku moja, hamu ya kujua kilichoendelea ikanishinda, nikaifungua, hapo mahusiano yalikuwa na miezi michache.
Nilijituliza. Nikapakua app ya kunyonya meseji zote, nikahamisha kwangu. Baadae nilikaa nikatulia nikaanza kuzisoma, nikaanza kusechi mb*, ku*, $-x, tom*, style, n.k.
Katika chats zile za mwaka na miezi miwili, tulikuwa watu tisa tumeshare mzigo ! Na kati ya hao, watatu tulikuwa wa karibu naye mno. Uwezo wake wa kupanga ratiba na kudanganya ulinitisha.
Nilimtimua !! yule niliyemwona kama malaika, kumbe alikuwa mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo.
Kitu kilichokuwa kinanitisha ni HIV baada ya kugundua tunashare wengi, nilipata stress nyingi sana, presha ilishuka baada ya miezi mitatu majibu yalipoonesha nipo safe.
Kuna jamaa alikuwa ameingia deep sana Ilinibidi nimjulishe mwanamke hafai hata kidogo.
waifu material unaona CV ilivyoshiba??Ahahahhaha aje tuu kwa sasa napeleka moto mpaka imekua story mtaani hapa.. kuna umoja wa wamama wameandamana et wanasema nabagua
Mimi wa hivi siwapendi😂😂waifu material unaona CV ilivyoshiba??
Kutomba sio ujinga,wewe ni zao la mtomboUnajisifia ujinga.
Mbona sina tena, toka ulivyonisusa nikajisemea basi tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio upunguze mahangaiko.
Hupendi mizagamuo shindili??Mimi wa hivi siwapendi😂😂
Yeah! Siyo vitu vyanguHupendi mizagamuo shindili??
Sasa we mahusiano yana raha gani bila mizagamuo shindili??Yeah! Siyo vitu vyangu
Ila unapenda kunisingizia🤣🤣🤣🤣Mbona sina tena, toka ulivyonisusa nikajisemea basi tena🤣
Njoo nikupe story, kwanza nimekumiss nataka nikuchum!!Ila unapenda kunisingizia🤣🤣🤣🤣
Hebu nipe story basi babe, si unajua mi na wewe tena!
Nakusubiri🤣🤣Njoo nikupe story, kwanza nimekumiss nataka nikuchum!!
Kwamba umetega shavu au 💋, sielewi 🤣🤣Nakusubiri🤣🤣
Wewe njoo utajua.Kwamba umetega shavu au 💋, sielewi 🤣🤣