Ulijuaje upo kwenye mahusiano na kicheche bed to bed midfielder na haukuwahi kumdhania?

Endelea hivyo mkuu, ni suala zuri sana, sio tu sifa ila ni kwamba unajali utu wako zaidi.
Kitambo hikoo nilishawah kuwa namueleza ex wife kwamba "najiheshimu primarily kwasababu yangu mimi zaidi, sio kwasababu yako au kwamba nakuogopa hapana, ila katika kijiheshim kwangu na wewe unapata faida"
Haya maneno namuelezea sana make wangu kuwa mtu ukijiheshimu ni kujali utu wako na kuputiq ww Mimi naipata faida humo
 
Exactly.. mimi nashangaa mtu anapo cheat kwa kukomoa au anajificha ficha ku pretennd. We ukiamua kufanya fanya tu maaana hasara ni kwako, utawaficha wengine ila huwezi kimbia ukweli kuwa uko hiv au vile.
 
Endelea hivyo mkuu, ni suala zuri sana, sio tu sifa ila ni kwamba unajali utu wako zaidi.
Kitambo hikoo nilishawah kuwa namueleza ex wife kwamba "najiheshimu primarily kwasababu yangu mimi zaidi, sio kwasababu yako au kwamba nakuogopa hapana, ila katika kijiheshim kwangu na wewe unapata faida"

Ni kweli mkuu Fanton Mahal
Hongera kwa kuwa hivyo
 
Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.

Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
Ni kweli kikubwa ni tamaa ya pesa na kutaka maisha ya juu ya uwezo
 
Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.

Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
Mwingine anapenda tu umalaya Yaani ni sex fantasy yake , Hii hutokana na mazingira yaliyomkuza mtu pia , though amezoea kuona marafiki ndugu ni wahuni wahuni so nayeye ana adopt huo mfumo
 
Back
Top Bottom