Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,508
- 15,276
Tangazo limeelewekaWatu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Tangazo limeelewekaWatu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Kwa mwanamke haijakaa powaLoh!! Ni ngumu kulala na wanaume tofauti tofauti
Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.Kwanza siwezi kwakweli
Kwanza unakua Huna Amani!Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Kwahiyo ulikuwa unakula shangazi au mshangazi?Kuna mmoja nilishare na mjomba wangu, mbwakoko mkubwa yule
Sasa kwa scenario ya ndugu yetu wapo tisa😀, fomesheni imekaaje hii kitaalam?Ukishakuwa hauna tamaa ya hela hauwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Kinachotokea huwa n mtu ana mpenzi asiye na hela halafu anapenda maisha mazuri na hawezi kuyamudu, akija mwenye uwezo zaidi lazima amkubalie.
Mwingine ana mpenzi mwenye hela lakini moyo wake haujampenda yupo nae kwa ajili ya hela tu, kwahiyo lazima awe na mwingine ambaye moyo umempenda.
Endelea hivyo mkuu, ni suala zuri sana, sio tu sifa ila ni kwamba unajali utu wako zaidi.Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
KabisaaaaaUzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama
Still youngWatu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Kama ni kweli upo hivyo Wewe ni wa pekee?Watu wanawezaje kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja? 🤦♀️
Kwenye ukuaji wangu hii kitu sijawahi kuweza wala kujaribu
Huku kwetu tunaamka tunasikia jana mtu kamtupa kichanga cha siku moja hii yote inatokana na UzinziKabisaaaaa