Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

Status
Not open for further replies.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.

Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha ukapigwa ban 🐒


---

UFAFANUZI
 
Si mara moja. Nitaendelea kupigwa maana siendekezi sana upuuzi.

Wiki chache nyuma, nilipigwa ya siku 9 au 10 hivi. Kosa, nilitania kuwa ID ya Lucas mbubujikwa machozi ndiyo ya yule msemaji kipindi cha kujivua gamba .

Hivyo nilikiuka taratibu za 'Name calling'.
 
Nahisi siku hiyo siku mod aliamka vibaya tu ama alipenya dm ya demu wake akakuta namtongoza.
Maana nilipigwa ban kwa kusema 'ushoga ni ugonjwa wa akili'.

Inawezekana pia mod wa siku hiyo alikuwa upinde akahisi comment yangu ni personal attack.
 
hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.

ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha ukapigwa ban 🐒
Mimi nilipigwa ban mara moja kwa kuwa inquisitive,mchokozi,provocative,utani uliopea viwango,mwehu na chizi-fresh at the same time. Baada ya kunielewa hawakupata amang'ana na mimi.Wewe utapigwa ban kwa kuweka vingedere vyako hivyo.Unawatukana mods.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…