Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

Status
Not open for further replies.
Mbona mimi huwa nasema hivyo mara nyingi na ban sipewi, sikua najua kama ni kosa
dah kwani mi nilijua kuwa mkondo ni ni kosa mkuu...? na nashangaaga wengi wanaandika hvo na hawapgwi ban tena ya mwezi bora ata nngepgwa week au siku nilionewa sana ilikua tarehe 1-1-2023 mpka tarehe 1-2-2023 watu wanapndelewa humu acha tu😆😆
 
Mtu ukiwa banned unajuaje mkuu mana kuna sisi hatujui chochote
 
Kwakweli miaka yangu yote hii JF since 2011 mpaka Leo sijawahi kupigwa BAN. Sasa sijui kwasababu ya upole na kuwachukulia members wengine kama watu wangu wa karibu na kuepuka mabishano yasiyokuwa na msingi😀🍿
 
Ukiona hvy ujue huna umuhimu huku JF, umuhimu wako unaonekana kwa kutofautiana mawazo na member wengne hvy kupelekea kukushtaki kisa umewaambia ukweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom