Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?

Status
Not open for further replies.
Hayo mashtaka huwa yanapelekwa wapi? Yanapelekwaje?? Yaani unamshtaki vipi mtu??
Habari,

Mods wanafanya kazi kwa kuzingatia Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala hivyo hakuna mwanachama yeyote anayefungiwa bila sababu, na mwanachama kufungiwa huwa ni chaguo la mwisho kabisa baada ya hatua nyingine kushindikana.

Endapo utakutana na chochote kinachokiuka mwongozo huo, unashauriwa kuripoti mara moja ili kifanyiwe kazi kwa haraka sana.

Jinsi ya kuripoti; Kila comment kwa chini kuna alama ya kengele, hivyo utatakiwa kubonyeza sehemu hiyo na itakuletea sehemu ya kuandika sababu ya kuripoti. Baada ya kuweka sababu, utabonyeza sehemu iliyoandikwa Report na hapo itakuwa imetufikia kwa ajili ya kuifanyia kazi.

Angalia mfano hapa chini


Asante sana.
 
Nili-reply kwenye post flani kwa kuweka (.) bila kuandika kingine chochote.

i.e niliweka alama .
Na bado unarudia kuweka tena. 😂😂😂😂
 
Reactions: K11
Usilie! Muhimu ukila ban nijue pa kukupata nikikumiss☺️
Unajua namna ya kumbembeleza baba akilia? Men hawalii...
Nikila ban ndio imetoka hiyo, nitatafuta hobby nyingine.
 
Popoma ndio atakua na ushuhuda mzuri,
Jamaa kwa ban acha tuu
 
Unajua namna ya kumbembeleza baba akilia? Men hawalii...
Nikila ban ndio imetoka hiyo, nitatafuta hobby nyingine.
😎Kwamba jf basi tena? Kisa? Mbona hatujakukosea kitu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…