Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Tuwekee hapa kisa chako huenda ikasaidia mdau mwingine anaepita hapa kujifunza na kuepuka makosa.
Mimi nilikuwa na tabia ya kumuamini sana mtu hasa kama amenipa ishara njema za kumuamini pale mwanzo.
Ila baada ya kulizwa sana hapo kati nimejifunza hautakiwi kumuamini mtu kwa 100% na usimuamini mtu wakati wote.
Kila mara hakikisha unakuwa makini na wanaokuzunguka.