Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Elimu ya ufundi vs ya kawaida et eehTofaut hapo hii moja ni BASIC na hii ni TECHNICAL even though all are Education.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ya ufundi vs ya kawaida et eehTofaut hapo hii moja ni BASIC na hii ni TECHNICAL even though all are Education.
Tatizo la watu wengi ninkuishi kwa assumptions.. what if ..what if nyiiingi.. hayo uliyoona na huko na watu hawafananiDuuh hio ni one of perspectives from another angle , je umemaanisha kupunguza maana na thamani ya mtoto au umewaza tu kuhusu bahati nasibu kwa aina ya matarajio yake? May be yes may be no, tumeshuhudia wengi wakipewa nyumba mitaji na wako mbali, kuna mkataa chema pia hupata kibaya what if kama yule tajiri alikuwa mwema mwenye changamoto ndani ya ndoa yake. Mungu ni wa ajabu katika upana wake