Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Nikiwa bado shababy miaka hiyo Dodoma, 2008!, kazi, nyumba, niliwekewa mpaka house girl na mlinzi na kampuni, Sina mke, wala mtoto, mi Gym na muviii tu.

Badala ya kuwekeza kununua ardhi, nikanunua gari la kutembelea tu! Kampuni ilipokufa, nikapata kazi nyingine, maokoto kiduchu! Gari nikauza! Laiti ningenunua ardhi Leo ningekuwa bilionea.

Kuna Dogo tulikuwa wote kazini, aliuza ardhi yake kwa bilioni 1.5 kwa NSSF! Sasa hivi ana nyumba kama 10 hivi!
Mie bado nachechemea! Hatari Sana,
Wekeza kwanza kwenye ardhi.
Movie Inanzia hapo Sasa!!
 
Nikupe pole kwa kuwaza kijinga namna hii..unafikiri kuzaa na tajir ndionilikua ticket ya mtaji eeh?? Pole sana sana tena mshukuru Mungu hukuzaa nae.

Probably ungezalishwa na kutelekezwa juu sasa imagine sasa hiv tu huna mtoto ila ngoma ngumu, ungekua nae je??

Kuwa mzazi (hasa mama) ni jukum zito sana.
  • kuna limit freedom yako
  • kuna limit fursa zako (yan kuna fursa hutakaa uchukue hata kama ziko wazi kisa wewe ni mzazi una mtot)
  • kuna options zako juu ya nini ufanye (maana kila jambo utasukumwa kufikiri sio interests zako tu bala na za mtegemeze wako yaan mtoto).

Mambo ni mengi
Dont be judgemental mkuu,uzi unaelezea watu wanavyojutia ,ww unacrtice majuto yake,sio sawa.
 
Mkuu npo apa Singida Ilongero inabidi unipe mfano halisi
Ukioa mwanamke wa kinyaturu jiandae na haya yafuatayo au zaidi
1. Uchawi
2. Wivu kupindukia ambao humpelekea mwanamke kukurndea kw amganga(hapa mama na mwana hushikamana)
3. Jiandae kutawaliwa (Ukiwa mbishi hata kwa limbwata utatawalika tuu)
4. Viburi balaa
5. Wanaushirikiano na kaka zao kukukandamiza
6.Atasaidia ndugu zake zaidi(waambie ndugu zako wajiandae kunyanyasika)
7.Watoto watapajua kwao zaidi kuliko kwenu(kuna mfumo hutengenezwa hapa)
8.Usiamini kila unayeambiwa ndugu ni ndugu mara nyingi wanakulana hata ndugu
9.Wavumilivu
10.Wanajua kutunza na kusimamia familia
11.Wamekeketwa
12.Ni warahisi kugegedwa nje na mwanaume mwingine
13.Ndugu zake kujazana au kupishama kwako. Yaani akiondoka huyu anaingia yule
14. Tarajia kaka zake kuingilia ugomvi wako na mkeo(yaani dada yao watamtetea)
15.Na zingine nyingi tuu ukishamsogeza utaziona mkuu.
 
Uchungu ninao ila nachojivunia ni skills za kuhandle uchungu...

Nipo na knowledge kubwa sana kudondoshwa na break up..

Yaani uwezo wangu wakuishi na hisia zangu,kuijua process ya stress inavyoenda...

Mtu hawezi kusema ukae na mwanamke uchumba miaKa 6 ndoa miaka 4 halafu kaachana nae bila kuwa na uchungu..

I am strong enough to be vulnerable,In fact alivyoniambia nilijifungia chumba cha pili siku nzima nalia tu na huo ni uchungu..I was disappointed sana hasa na ukweli kwamba hawezi kuwa na thamani ile ile machoni pangu milele...Nadhani ili liliniuma kuzidi hata usaliti wenyewe na hata kuachana kwetu nilimwambia umekosa kibali machoni pangu hivyo na mimi siwezi kuishi na mwanamke ambaye siwezi kujivunia popote.

Sasa nikiamua jambo langu ndo uwaga sishindwi nina mindset ya kipekee sana.
Hongera kwa uwezo huo
 
Ukioa mwanamke wa kinyaturu jiandae na haya yafuatayo au zaidi
1. Uchawi
2. Wivu kupindukia ambao humpelekea mwanamke kukurndea kw amganga(hapa mama na mwana hushikamana)
3. Jiandae kutawaliwa (Ukiwa mbishi hata kwa limbwata utatawalika tuu)
4. Viburi balaa
5. Wanaushirikiano na kaka zao kukukandamiza
6.Atasaidia ndugu zake zaidi(waambie ndugu zako wajiandae kunyanyasika)
7.Watoto watapajua kwao zaidi kuliko kwenu(kuna mfumo hutengenezwa hapa)
8.Usiamini kila unayeambiwa ndugu ni ndugu mara nyingi wanakulana hata ndugu
9.Wavumilivu
10.Wanajua kutunza na kusimamia familia
11.Wamekeketwa
12.Ni warahisi kugegedwa nje na mwanaume mwingine
13.Na zingine nyingi tuu ukishamsogeza utaziona mkuu.

11. Haolewi au kudumu kwenye ndoa 1
 
mkuu hawa si ndo wanatajika sana uko mijini kwa uzuri yani ni kama hawaingii bafuni vile au
 
Back
Top Bottom