Nikupe pole kwa kuwaza kijinga namna hii..unafikiri kuzaa na tajir ndionilikua ticket ya mtaji eeh?? Pole sana sana tena mshukuru Mungu hukuzaa nae.
Probably ungezalishwa na kutelekezwa juu sasa imagine sasa hiv tu huna mtoto ila ngoma ngumu, ungekua nae je??
Kuwa mzazi (hasa mama) ni jukum zito sana.
- kuna limit freedom yako
- kuna limit fursa zako (yan kuna fursa hutakaa uchukue hata kama ziko wazi kisa wewe ni mzazi una mtot)
- kuna options zako juu ya nini ufanye (maana kila jambo utasukumwa kufikiri sio interests zako tu bala na za mtegemeze wako yaan mtoto).
Mambo ni mengi