Baba Ndubwi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 1,223
- 1,992
Kuoa mwanamke wa Singida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole,umeandika kwa uchungu sana.Mimi niliamini sana katika Ndoa katika kushirikiana katika umoja...
Pamoja na madhaifu yangu ila siku zote nilikuwa na huruma na mke wangu..
Nimeoa aina ya mwanamke ambaye ukimkabidhi mwanaume yeyote mwenye akili timamu hawezi kudumu nae hata mwaka 1 ila vyote nilipuuzA japo hasira za hapa na pale zilikuwepo
Wakati namvumilia yeye kwa changamoto zaKe za Afya ambazo zimepelekea tusipate mtoto,uchawi wa kwao imagine kanisaliti tena kanisaliti ila hali niliota mara 2 na nikamkanya ili hali nilimsisitiza sana kwamba sisamehi usaliti,ili hali nimekataa offer z kuzaa nje kibao kwa lengo la kujenga misingi ya Ndoa..Ili hali hata movies za usaliti siangalii na anajua.
Kuna mda ulifika tukawa na migogoro mingi nikawa namwambia unafanya kila kitu sawa ila moyo wangu unakukataa,kwanini???Siku moja tumekaa katika mazungumzo akaniambia kila kitu kuhusu usaliti wake akaniomba na msamaha tuanze upya....
Hapo ndo nilipomwona kwa uhalisia wake...Nilipata uchungu sana sababu Pamoja na madhaifu yake sikuwaza kumuacha nikiamini ni mwaminifu sasa amevuka mstari ambao hajawahi kufuka ex wangu yeyote nyuma huko nikamsemehe na kuendelea nae..amegusa mahali ambapo hapaguswi.Kagusa heshima yangu, kagusa Uaminifu kagusa misingi ambayo hajawahi kugusa yeyote...
Hapo sasa ndo nikamuona kwa madhaifu yake yote nilipitia kipindi cha uchungu sana kwa kama miezi 3 na yeye akiwepo hapo hapo ila nikagundua hawezi kuwa na thamani ile ile nikagundua siwezi nikawa proud mbele za watu nina mke,nikagundua kwangu mimi neno mke wangu lina heshima kubwa ambayo yeye haistahili na Kamwe hatakaa kuistahili hata nikiendelea nae..
Huwezi amini nimemsamehe ila nimeachana nae na sababu sio kwamba sijasamehe ila kwangu mimi kumuita mwanamke, mke wangu naona nimemuita jina la heshima sanaaa,Kinachonishinda ni kwamba nashindwa kumtofautisha na wanawake wengine...nashindwa kumuona km Ana thamani, nashindwa kumuangalia kwa upendo,nashindwa hata kumuona km atanisaidia chochote maishani,kifupi namuona ni mzigo tu maishani mwangu naona my energy is stacking sababu yake..Miaka yote ya uchumba na ya ndoa ni bure..
Kwanini nakataza Ndoa ya makaratasi ni kwa sababu dada zangu,mama yangu na ndugu wote wanampenda mke wangu,Yes,ni wale wanawake wenye mionekano ya wife material sababu amenipa kazi ya kukaa chini kuwaelewesha ndugu zangu kwamba Navunja Ndoa mbaya zaidi lazima watataka sababu ya msingi..tumetengana wanajua ila wapo dilemma wanasubiri tukisikia kauli yangu.Mimi nasuburi miezi 6 iishe nitafute million 1 nitoe rushwa nipate talaka ya haraka...
Nini nitawaambia ndugu zangu,bonding iliyopo je??
Nikichojifunza kuhusu Usaliti ni chakushangazA..Eti sijaumia kusalitiwa kama nilivyoua mda niliopotezA,heshima yangu kuguswa,heshima niliyompa kama mke,nimeumia kwamba hajanionea huruma wakati mimi nipo busy kumuona huruma,nimeumia kwamba nimemshirikisha kila kitu kwenye mipango yangu ya maisha,nimeumia kwamba nimepuuzA madhaifu yake mengiiiiiiiiii nikiamini Lakini sio msaliti..Finally kile nilichodhani hawezi kufanya ndo kafanya mstari nikidhani hawezi vuka ndo kavuka..
Nailaani siku niliyooa,nalaani kila kitu kuhusu hiyo siku gharama,ku match kanisani,Furaha niliyopata.
Nachojiamini ni uwezo wangu wa kuhandle stress imagine unasalitiwa halafu hata kibao hurushi halafu unakaa miezi 3 na mwanamke na mapenzi mnafanya mwanzo nikidhani haitasimama ila ilisimama halfu siku moja unaona tu huyu hana thamani tena ya mke u amwambia tutengane then badae tutaenda mahakamani.Sikudhani kama I am that strong [emoji123] I hata mimi limenishangazA...ila nilimtukana mara kadhaa nisiseme uongo..
Yaani naacha nae ila hata nikiendelea nae nawezA pia ni ile kusimamia masingi yangu na confidence tu I can get better than her na ile hali ya kumuona hana thamani ambayo mke anastahili kupewa.Self pride tu nina maisha mazuri na naweza kupata bora zaidi yake..
Hapa nimepark kigari changu nacheki mademu wa chuo..
Both ways,it benefits me.Mi sina maisha mabaya
Haahaa 😆Unapeleka lawama kwa baba ili kuficha uvivu wako
Haaapaaana, mambo yote ongeleeni hapa. Huko PM mnaenda kuzungumza kitu gani kigeni? Au mnaenda kututeta? Zungumzenieni hapa. EbooSo let's do it in its seriousness..[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji39] welcome to my PM. Huku wachawi washakuwa wengi
Usipende kukaa na dukuduku kwenye koromero. Weka hapa nafsi yako ipate kusuuzikaSiku nikiamua kusimulia kisa changu jf itatikisika ila sa hv hapana labda 2025 nitaweka mambo hadharan! Weka mbali na watoto tuendelee kupambana
[emoji23][emoji23]Vipi mkuu, ulitaga?Kutumia masaa 3 kwenye kila mtihani .... Bora ningetumia nusu saa muda uliobaki ningelala
Faculty ya bachelor of arts with education? Una digrii kweli wewe? Tena digrii tatu?Nilikosea kuchukua faculty ya "BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION" instead of "TECHNICAL EDUCATION",
Ukikurupuka huwezi muelewa jamaa. Think twice or thrice utapata mwanga kidogoMwanamke anakusaliti then unajisifia wewe ni mvumilivu kabisa? Mkuu huo ni udhaifu sio sifa, achana na hiyo shetani haraka sana.
Halafu we kenge unajifanya sio mtoto wa peasant?Land,land ,land .Ardhi ,ardhi nafanya makosa yaleyale waliofanya wazee wangu .Tununue ardhi kama uwezo tunao.Nimemaliza.
Nafurahi kukuambia una akili kama za NZI.Unajua NZI anapendelea vitu viwili tu choo na mavi.Haya nenda chooni au kwenye mavi haraka sana.Halafu we kenge unajifanya sio mtoto wa peasant?
Mpuuz wewe
Mbona umesahau cha tatu na watu wanaojinyea kama wewe inzi anawafuata sana na wanao nuka kNafurahi kukuambia una akili kama za NZI.Unajua NZI anapendelea vitu viwili tu choo na mavi.Haya nenda chooni au kwenye mavi haraka sana.
Brainless individual .Katika vitu vyote vya maana siku ya leo nimechagua kukupuuza tu.Mbona umesahau cha tatu na watu wanaojinyea kama wewe inzi anawafuata sana na wanao nuka k
Sikutaga nilizungusha 0[emoji23][emoji23]Vipi mkuu, ulitaga?
Au ndo ule msemo wetu wa elimu ya Bongo ni ya kipumbavu sana
NotedKumwacha mtu niliyempenda zaidi aende kirahisi, sijapata mwingine kama yule tena , ushauri wangu ni huu kama unampenda mtu na unaona kabisa unavutiwa nae na yeye anakupenda shetani akiingia Kati mwondoe shetani na hakikisha unabaki na umpendae.