Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Nilikosea kuchukua faculty ya "BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION" instead of "TECHNICAL EDUCATION", Nna degree 3 kwa sas nauza nyanya Karatu.Tuewekee hapa uenda ikasaidia mdau mwingine anaepita hapa kujifunza na kuepuka makosa.
Mimi nilikuwa na tabia ya kumuamini sana mtu hasa km amenipa ishara njema za kumuamini pale mwanzo.
Ila baada ya kulizwa sana hapo kati nimejifunza hautakiwi kumuamini mtu kwa 100% na usimuamini mtu wakati wote.
Kila mara hakikisha unakuwa makini na wanaokuzunguka.
Haaahaa pole mkuu yote maisha endelea kupigania ndotoNilikosea kuchukua faculty ya "BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION" instead of "TECHNICAL EDUCATION", Nna degree 3 kwa sas nauza nyanya Karatu.
Na hiv juzjuz hapa ROMA alinitag kwenye wimbo wake wa "MAUA YANGU"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kuchoka kaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaahaa pole mkuu yote maisha endelea kupigania ndoto
Mkuu naomba unipe tofauti ya hivyo vitu viwiliNilikosea kuchukua faculty ya "BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION" instead of "TECHNICAL EDUCATION", Nna degree 3 kwa sas nauza nyanya Karatu.
Na hiv juzjuz hapa ROMA alinitag kwenye wimbo wake wa "MAUA YANGU"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ni mimi kabisa, and I'm still working to figure it outkuonea watu huruma kwenye masuala ya hela
Nikiwa bado shababy miaka hiyo Dodoma, 2008!, kazi, nyumba, niliwekewa mpaka house girl na mlinzi na kampuni, Sina mke, wala mtoto, mi Gym na muviii tu.Tuewekee hapa uenda ikasaidia mdau mwingine anaepita hapa kujifunza na kuepuka makosa.
Mimi nilikuwa na tabia ya kumuamini sana mtu hasa km amenipa ishara njema za kumuamini pale mwanzo.
Ila baada ya kulizwa sana hapo kati nimejifunza hautakiwi kumuamini mtu kwa 100% na usimuamini mtu wakati wote.
Kila mara hakikisha unakuwa makini na wanaokuzunguka.
Wenye mapenzi ya kweli wapo, wanaojali wapo sema hujawahi kukutana nao, so usitoe mjumuisho wa jumla ila hapo kwenye umakini uko sahihi.Tuewekee hapa uenda ikasaidia mdau mwingine anaepita hapa kujifunza na kuepuka makosa.
Mimi nilikuwa na tabia ya kumuamini sana mtu hasa km amenipa ishara njema za kumuamini pale mwanzo.
Ila baada ya kulizwa sana hapo kati nimejifunza hautakiwi kumuamini mtu kwa 100% na usimuamini mtu wakati wote.
Kila mara hakikisha unakuwa makini na wanaokuzunguka.
Uzi mzuri sana.Sina ninachojutia. Kila nilichopitia kilikuwa daraja la kunifikisha nilipo hivi sasa.
Najitahidi kuwa bora, nisiwe kama nilikotoka.
Majuto yafaa nini ikiwa maisha ni sasa?